Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Depal please nimekumbuka kuna ule uzi wa kimasihara angalia nisije nikakukuta unasimuliwa kule.[emoji23][emoji23][emoji23] mkorofiii
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Depal please nimekumbuka kuna ule uzi wa kimasihara angalia nisije nikakukuta unasimuliwa kule.[emoji23][emoji23][emoji23] mkorofiii
😂😂😂😂😂😂😂 hayanaga muongozo wanasema lakiniDepal please nimekumbuka kuna ule uzi wa kimasihara angalia nisije nikakukuta unasimuliwa kule.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Weeeee patachimbika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayanaga muongozo wanasema lakini
Mwenzako hater ashazima
Chezea pombe za warusi atakuwa kasha sachiwaMwenzako hater ashazima
Sasa unafanyaje hujalewa bado mtu anataka kukutapeli? Akuvuzie vizie au hata ajiongeze aseme kakae nimekunywa soda hapo dadaako ..😂😂😂 mkorofiii
Mwenzako hater ashazima
Mwenzako hater ashazima
Hehehe.. yote yawezekana ila sio leo bwana wakuuu
😆😆😆Hehehe.. yote yawezekana ila sio leo bwana wakuuu
Umenikumbusha iyo emeprior ilinipa tabu sana kuizoea, nakumbuka nilianza nayo nikiwa 1st Yr
Mkuu taratibu maana hiyo dalili siyo nzuri usije ukajikuta unalala mtaroni.Hehehe.. yote yawezekana ila sio leo bwana wakuuu
Ukishalewa niambie nije kukuchukua mtoto mzuri😁Kazi iendelee 💥View attachment 2796258
Ni nomaa kama vile unalazimishwaUmenikumbusha iyo emeprior ilinipa tabu sana kuizoea, nakumbuka nilianza nayo nikiwa 1st Yr
Aka 😂😂nina macho ya kufika napotakiwa kulalaUkishalewa niambie nije kukuchukua mtoto mzuri😁
😁😁 Kichwa safi kabisa hiyo. Yani ukilewa ndo unaweza danganya?Jamaa nimekaa nao hii meza wangejua nawapigia stori za uongo wangenitandika makofi asee
Acha ubishi wewe.. wahuni wengi njiani, hata kama njiro kwa wastaarabuAka 😂😂nina macho ya kufika napotakiwa kulala
Hahaha..msindikize na vi lite sasaDj wa pillars ubarikiwee
Ole wako tuobdoke bila hela ya soup
😃😃😃 anieache kwqnzaHahaha..msindikize na vi lite sasa
Upo peke yako?Aka 😂😂nina macho ya kufika napotakiwa kulala