Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Oy wadau nipo mbeya,ipi club kali kati ya mwailubi,mbeya pazuri na new city pub,jumamosi hii nikale bata ..club yenye magoma makali na msosi mzuri yan mdudu roast,ugali mkubwa n.k
Anyway hapa jana ilitengenezwa cocktail moja matata sana mualiko wa jamaa yetu mmoja wa huku mbeya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2808803
Mwailubi kwa mdudu wako vizuri ata mziki wao fresh [emoji23][emoji23] Jana Mbeya Pazuri generator lilizingua hila ni kiwanja kizuri sana kwa saivi Mbeya
 
Pale malaya wapo,hata kuruta wanapajua,tulikuwa tukipata hela tunatoroka kambini tunaenda mlina na shivas hadi hela yote inaisha,hilo jambo linatendeka mda wa mavapire ,yaani usiku kwa usiku,Sitapasahau.
Sijui vijana wa sasa kama wanaenda huko au kuna machimbo mengine tena.

Tulisumbua sana sie,kambini kuna chenja ya mlina kabisa,watu wanaiimba mno.
Hadi leo wanatorokaga na kujaa[emoji3]
 
Dah! habari zenu wadau leo naandika hapa nikiwa niko nusu kudata kwa kweli napitia changamoto kwenye haya maisha ni waka wa pili na miezi sasa. nimepoteza biashara kariakoo, nimefiwa na mtoto, ndani ya hiki kipindi hapa nimetoka mwezi wa 8 kupata ajali. Ambayo ilinilaza kwa muda yaani kiufupi ni kama dunia imejitenga na mimi kwa sasa, nimesali sana lakini wapi nimeenda kwa makanisa ya kiroho sana naamini yatapita haya.
Nlistop pombe ila kwa sasa natamani nikae niipige nijuiulize shida ilipo haswa maana wenzangu wamechanja mbuga sana nliowaacha kwa biashara anyway sina kitu wazee mwenye hata 5000 nikapige hata sungura kwa kweli no hio 255674846674 tafadhali asanteni.
Pole sana kaka
 
Oy wadau nipo mbeya,ipi club kali kati ya mwailubi,mbeya pazuri na new city pub,jumamosi hii nikale bata ..club yenye magoma makali na msosi mzuri yan mdudu roast,ugali mkubwa n.k
Anyway hapa jana ilitengenezwa cocktail moja matata sana mualiko wa jamaa yetu mmoja wa huku mbeya👇👇👇View attachment 2808803
mwailubi ndo penyewe mzee baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom