Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pillars.. vibe la pesa yote.. ukifanya mzaha unamaliza hela uliyoenda nayo.

Blue stone… shangwee

The Hub.. ila ukae ndani, nje raia mob

Mopao

Orlando.. pako cool

The Don.. napenda private

Gran Melia.. very relaxed place,, ila ulewe kwa Mangi, pale ukashtue kidogo tu. 😂💥

Aces Lounge.. watoto wanacheza amapiano huko ni hatari.. napendelea ule upande wa private.

The Lions Garden… tatizo mbalii kidogo

Tembo club… greenish na cool place.. hamna heka heka

Amber bar & restaurant…
💐
 
Chimbo gani nzuri la kunywa na kulewa Arusha?
Kaloleni
IMG20231012215926.jpg
 
Unampelekaje mgeni places za makahaba na wezi??
Pale malaya wapo,hata kuruta wanapajua,tulikuwa tukipata hela tunatoroka kambini tunaenda mlina na shivas hadi hela yote inaisha,hilo jambo linatendeka mda wa mavapire ,yaani usiku kwa usiku,Sitapasahau.
Sijui vijana wa sasa kama wanaenda huko au kuna machimbo mengine tena.

Tulisumbua sana sie,kambini kuna chenja ya mlina kabisa,watu wanaiimba mno.
 
Chenja zenu kwani sasa mnaimba vya maana? Si ni matusi tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom