Dah! habari zenu wadau leo naandika hapa nikiwa niko nusu kudata kwa kweli napitia changamoto kwenye haya maisha ni waka wa pili na miezi sasa. nimepoteza biashara kariakoo, nimefiwa na mtoto, ndani ya hiki kipindi hapa nimetoka mwezi wa 8 kupata ajali. Ambayo ilinilaza kwa muda yaani kiufupi ni kama dunia imejitenga na mimi kwa sasa, nimesali sana lakini wapi nimeenda kwa makanisa ya kiroho sana naamini yatapita haya.
Nlistop pombe ila kwa sasa natamani nikae niipige nijuiulize shida ilipo haswa maana wenzangu wamechanja mbuga sana nliowaacha kwa biashara anyway sina kitu wazee mwenye hata 5000 nikapige hata sungura kwa kweli no hio 255674846674 tafadhali asanteni.