MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,741
- 22,907
Ndio nimetoka kununua sasa hivi nichanganye na safari, kita ni keep warm na hii mvuaHizi pombe hizi huenda tumerogezewa,huwezi amini nimeagiza Hanson's ya pili
Ndio nimetoka kununua sasa hivi nichanganye na safari, kita ni keep warm na hii mvuaHizi pombe hizi huenda tumerogezewa,huwezi amini nimeagiza Hanson's ya pili
kwani hii ni pombe yakike wakuu? maana nimeagiza watu wananiangalia [emoji2]
View attachment 2804893
Kwanin mkuu??Imefikia pahala naona niache pombe sasa
🔥
Pole sana takucheki kukipambazukaDah! habari zenu wadau leo naandika hapa nikiwa niko nusu kudata kwa kweli napitia changamoto kwenye haya maisha ni waka wa pili na miezi sasa. nimepoteza biashara kariakoo, nimefiwa na mtoto, ndani ya hiki kipindi hapa nimetoka mwezi wa 8 kupata ajali. Ambayo ilinilaza kwa muda yaani kiufupi ni kama dunia imejitenga na mimi kwa sasa, nimesali sana lakini wapi nimeenda kwa makanisa ya kiroho sana naamini yatapita haya.
Nlistop pombe ila kwa sasa natamani nikae niipige nijuiulize shida ilipo haswa maana wenzangu wamechanja mbuga sana nliowaacha kwa biashara anyway sina kitu wazee mwenye hata 5000 nikapige hata sungura kwa kweli no hio 255674846674 tafadhali asanteni.
poa kaka
Ngoja nikusaidie kuwa tag mkuu Maana hapo haijakubali kama itakubali nitakuchekia pia.@Certified hater, @Depal, @Plan master @Evelyn salt pitieni huku pls
sawa mkuuNgoja nikusaidie kuwa tag mkuu kama itakubali nitakuchekia pia.