Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,849
- 209,771
Sitoboi 😂😂😂Bado badoooo.. Kaza kwanza
Smirnoff 8 si mchezo
Am outttyyy of the league
Sitoboi 😂😂😂Bado badoooo.. Kaza kwanza
😅😅 Sio mtoto ni kijana mdogo watoto ni under 18 tafazali 😉👷Mtoto huyoo
Akipata spirit ataamke kesho kutwa
Oya mi sio mtoto mkuu ni young man/ kijana mdogo.Fundisha vizuri watoto wako sasa.
Crush wako amesema we ni mtoto sasa mkuuOya mi sio mtoto mkuu ni young man/ kijana mdogo.
Inauma sana huyo anatania tu.Crush wako amesema we ni mtoto sasa mkuu
Unateseka ukiwa wapi? Usishobokee maisha ya mtu usiemjua kijanaNdo maana unazeeka kama nyanya ni haaki yako sio kwa hizo pombe asee
Ukweli mchungu eeh haya furahia bia zako shangazeeeUnateseka ukiwa wapi? Usishobokee maisha ya mtu usiemjua kijana
Nilienda Picnic Mazingira sikupendezwa nayo, nikaenda Blue stones (Serengeti) ni kamalizia na THE PILLARS , Njiro, ni sehemu nzuri sanaa , chakula kizuri na customer care yao ni nzuri kiasi chake.Try at ur own risk..
Picnic ni pa wahuni..Nilienda Picnic Mazingira sikupendezwa nayo, nikaenda Blue stones (Serengeti) ni kamalizia na THE PILLARS , Njiro, ni sehemu nzuri sanaa , chakula kizuri na customer care yao ni nzuri kiasi chake.View attachment 2796509
Leo nitaenda ACES LOUNGE nione vile wachaga wanacheza Amapiano .
Napenda karioke zaidi akiimba mwanamke.Picnic ni pa wahuni..
Leo jpl pillars wanakuwaga na karioke.. inabambaga.
Jipige kifua mara tatu jiambie mi nina wivu😀😀😀😀Ukweli mchungu eeh haya furahia bia zako shangazeee
What a beautiful and brilliant idea last time tulipanga lakini hatukufanikishaHivi walevi wa JF hatuwezi organize party december hii??!! My biggest concern is privacy. Nahitaji ku hang around na watu nisiowajua majina wala wasionifahamu, yani ikawa ni party sehemu fulani lakini hakuna mtu anayemjua mwenzie??!!
I hope uko na network ya baadhi ya watu unaojua nao humu, organize bar/location then mwenye iyo location book kuwe na ki chamber cha wana jF. Ku access hicho ki chamber ni lazima mtu ataje a certain keyword etc...What a beautiful and brilliant idea last time tulipanga lakini hatukufanikisha
Sent using Jamii Forums mobile app
SIelewi nitafafanua namna gani hii idea anonymouslyI hope uko na network ya baadhi ya watu unaojua nao humu, organize bar/location then mwenye iyo location book kuwe na ki chamber cha wana jF. Ku access hicho ki chamber ni lazima mtu ataje a certain keyword etc...
NimoWhat a beautiful and brilliant idea last time tulipanga lakini hatukufanikisha
Sent using Jamii Forums mobile app