Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,933
- 236,484
Mirinda 😍View attachment 2776017
Karibu bucket mtumishi
Mirinda 😍View attachment 2776017
Karibu bucket mtumishi
Kwa Tz umeonja The Heaven Son? Siyo maarufu lakini hutajuta.Uzi pendwa kwa watumiaji wa kinywaji cha mvinyo almaarufu wine kwa wasungu.
Nategemea kupata maoni ya wine kutoka watumiani wa wine aina tofauti tofati za wine zinazozalishwa nchini Tanzania na nje ya nchi.
Naanza kwa mapendekezo yangu.
Kwa wine za Tanzania zenye taste nzuri ni
Imagi wines
Dane wine
Hazina ukali sana wa kukwangua koo, zipo smooth, kwa aina nilizowahi taste hizi nazipa asilimia nyingi.
Zipo
Dry
Semi sweet
sweetest
Kwa upande wa wine zinazotoka nje ya TZ
Chaguo langu nambari 1 ni
1. Four cousins
Hawa jamaa wine zao ni nzuri sanaaa kwa Tz bado sijaona wine zenye taste nzuri kama zao.
Karibuni
Mods washaunga uzi na wa wanyw pombeKwa Tz umeonja The Heaven Son? Siyo maarufu lakini hutajuta.
Hangover balaa itanifanya niache pombee
Dah!View attachment 2776184
Baada ya kukosa usingizi [emoji3]
Huna mume hata mpigane miti?View attachment 2776184
Baada ya kukosa usingizi [emoji3]
Huna mume hata mpigane miti?
Ukiamka asubuhi unakula nini
au tikitiIt’s weird lakini ukila mkaa inakata unakuwa mpyaaaa
geto lako hilo mbona raha sanamshamba_hachekwi njoo tukazie siku 😂View attachment 2775535
Lions hill na four cousins wako vizuriiiiiUzi pendwa kwa watumiaji wa kinywaji cha mvinyo almaarufu wine kwa wasungu.
Nategemea kupata maoni ya wine kutoka watumiani wa wine aina tofauti tofati za wine zinazozalishwa nchini Tanzania na nje ya nchi.
Naanza kwa mapendekezo yangu.
Kwa wine za Tanzania zenye taste nzuri ni
Imagi wines
Dane wine
Hazina ukali sana wa kukwangua koo, zipo smooth, kwa aina nilizowahi taste hizi nazipa asilimia nyingi.
Zipo
Dry
Semi sweet
sweetest
Kwa upande wa wine zinazotoka nje ya TZ
Chaguo langu nambari 1 ni
1. Four cousins
Hawa jamaa wine zao ni nzuri sanaaa kwa Tz bado sijaona wine zenye taste nzuri kama zao.
Karibuni
Tulia hapo ulewe 😂
Four cousins wana taste nzuri sana, i wish wazalishaji wa bongo wafike level zile 😁Lions hill na four cousins wako vizuriiiii
Nakata chupa 2 peke angu
Nikimaliza naanza kucheka cheka 😂
Nilewe jumatatu yote hii 😃 nimekunywa mbili tu . Nitazifakamia wikend ili niyumbe vizuriTulia hapo ulewe 😂
Haina hangover kwani hiyo ni fanta