Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,848
- 209,757
View attachment 2779682
Likizoooo imeanza hivi
kitu roho inapenda sio😂
Kiu ilitaka kukuua nikajua utakunywa maji ila we mbaya sana, ,🤣🤣Kiu ilitaka kuniua niko Mbeya Pazuri [emoji23]View attachment 2781218
Sio kiu ya maji hii ilikuwa zaidi ya arostoKiu ilitaka kukuua nikajua utakunywa maji ila we mbaya sana, ,[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiu ilitaka kukuua nikajua utakunywa maji ila we mbaya sana, ,[emoji1787][emoji1787]
Unapenda kuyumba 😂😂😂haka kadude nilishawishiwa humu humu kujaribu .. saivi naona naanza kukapenda
Leo ni easy friday .. kesho jmos tunarudi kwenye vigumu Hansons Choice 😁
View attachment 2781200
I will try..Energy inakata pombe vibaya mno.
Kwa wewe usiye kunywa hard liquors fanya beer malizia na energy. Pombe zinapoteaI will try..
Energy drink nayoijua ni red bull tu…Kwa wewe usiye kunywa hard liquors fanya beer malizia na energy. Pombe zinapotea
YesuuBaada ya hapa nyagi na bitter lemon baridi sana nikaomboleze vizuriView attachment 2781521
Sent using Jamii Forums mobile app