Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,699
- 870,416
- Thread starter
- #27,401
Soda ina sukari nyingi ambayo haipatani na vilevi vikaliKwa nini nikinywa whisky na energy drink kama monstar sizimi yani nakaa ata massa 12 pia hakuna hangover nakuwa nachangamka tu lakin nikimix na soda hali inakuwa tofauti mwwnye kujua sababu
Sent using Jamii Forums mobile app