Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nishawahi kupewa code ila sikwenda siku nitaibuka aisee
Mm mwenyewe ni muda sijawai tembea mbagala ila Kuna occasionally imefanya nije mbagala milima haikutani binadamu hukutana nime meet na brother tuliootezana miaka 32 iliyo pita...

MILIMA HAIKUTANI BINADAMU HUKUTANA
 
Ukiwasikiliza walevi, unaweza dhani kuwa kweli ni tamu[emoji1787]kumbe!

Tuliolelewa na soda tuendelee tu
Pombe ni kipajj, siyo kila mtu anacho[emoji119]..

Tz 3runner kwa ulevi duniani[emoji91]

IMG_6332.jpg

Karibu bucket mtumishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom