Tumemuona 😂😂National Anthem leo Nakuja uzunguni kwenu, saa 18:30 kucheki Arsenal vs M/City afu saa 8:00 Formula 1
Naanza kulewa uku bia cheap...
View attachment 2775660
Background kuna White Panther
We Mzungu. Ni vile umezaliwa kwenye ukoo wetu tu. Ila ulitakiwa Brooklyn.Cheers bro View attachment 2775679
Uli quit nini mzee?Huu uzi wa walevi bado upo kumbe
Mpaka kichwa kianze kuyumba 😂
😂😂😂 naona ushaanza kuyumbaWe Mzungu. Ni vile umezaliwa kwenye ukoo wetu tu. Ila ulitakiwa Brooklyn.
Jana nimezitafuta mbagala nzima sijazipata wenyewe wana flying fish 😂😂😂😂😂National Anthem leo Nakuja uzunguni kwenu, saa 18:30 kucheki Arsenal vs M/City afu saa 8:00 Formula 1
Naanza kulewa uku bia cheap...
View attachment 2775660
Background kuna White Panther
😂😂 hata Dar Live hawana??Jana nimezitafuta mbagala nzima sijazipata wenyewe wana flying fish 😂😂😂😂😂
Hawana hata super market zao pa ki shamba sana kama Kuna chimbo nielekezwe..😂😂 hata Dar Live hawana??
Flying fish ni made in Tz
🤣🤣🤣 ukafanyeje sasaJana nimezitafuta mbagala nzima sijazipata wenyewe wana flying fish 😂😂😂😂😂
Mbagala nina muda mrefuu mnooo sijafikapo.. hata sijui chochote zaidi ya dar liveHawana hata super market zao pa ki shamba sana kama Kuna chimbo nielekezwe..