Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wakuu, Tunapoelekea mwisho wa mwaka nivema tukapeana magonjwa muhimu ya kucheck hasa yanayohusiana na unywaji wa pombe. Pia tukapeana ushauri wa unywaji wa kiafya zaidi. Mfano ni chasers zipi zinatumika na Gin, whiskey or Vodka na ni kwakiwango gani tutumie pombe kwa siku.
 
Mbeya pazuri.....mbeya
Essence.............iringa
Bambalaga.........dom
Champion...........manyara
Picnic.................chuga
Juliana..............dar
Ze atla .............shy town


Hizi ndio sehemu niliofika nzuri
Picnic ina uzuri gani? Wale wanaouza au?
 
Mbeya pazuri.....mbeya
Essence.............iringa
Bambalaga.........dom
Champion...........manyara
Picnic.................chuga
Juliana..............dar
Ze atla .............shy town


Hizi ndio sehemu niliofika nzuri
Umekula bata la kutosha sana
 
Kwamfipa moja iyo
20221228_183200_HDR.jpg
 
Sio rahisi Mkuu, nilianza na safari nikaona hola,nikaja kvant hola( nakunywa chupa mbili kubwa mwenyewe), valuer nayo mpaka nimix na Gin but hola, black label nayo hola, nmefikia level Double kick 5 nakunywa napiga na safari au nyagi ndogo ndo nalewa. Kilevyi ni balaa Sana
Mkuu mbona una hatari sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom