Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wadau wa udrink, ni muhimu kunywa maji mengi na pia kutenga siku ambazo hutumii kabisa any alcohol zaidi ya maji mengi. Ratiba zingine ni ngumu lakini tuishi humo ili tuendelee ku enjoy.

Pia usibadili ovyo vinywaji, uwe na common drink ni rahisi kugundua tofauti mwili ukikataa pale utapobadilisha unywaji wako. Mfano, mimi nilibadili na kuanza kunywa Hanson choice na energy drink baada ya muda kidogo niingie kwenye pressure nikasitisha haraka then nikawa vizuri kabisa.

Hii kuna mzee mtu mzima sana aliniambia baada ya kumuuliza why yeye anatumia konyaji tu na kama ni bia ni safari. Akasema miaka yote ndio vinywaji mwili umeshazoea. Mimi pia hubadili mara chache sana lakini nina common drinks zangu.

Ukisikia mwili hauko sawa usifosi, pumzika, kunywa maji mengi, juice n.k! Ukiwa sawa endelea kula vitu. Bila kusahau kulala vizuri [emoji2]

Ni muhimu kupeana tahadhari kwasababu tuna experience tofauti.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wadau wa udrink, ni muhimu kunywa maji mengi na pia kutenga siku ambazo hutumii kabisa any alcohol zaidi ya maji mengi. Ratiba zingine ni ngumu lakini tuishi humo ili tuendelee ku enjoy. [emoji817][emoji818][emoji1545]
 
Wadau wa udrink, ni muhimu kunywa maji mengi na pia kutenga siku ambazo hutumii kabisa any alcohol zaidi ya maji mengi. Ratiba zingine ni ngumu lakini tuishi humo ili tuendelee ku enjoy.

Pia usibadili ovyo vinywaji, uwe na common drink ni rahisi kugundua tofauti mwili ukikataa pale utapobadilisha unywaji wako. Mfano, mimi nilibadili na kuanza kunywa Hanson choice na energy drink baada ya muda kidogo niingie kwenye pressure nikasitisha haraka then nikawa vizuri kabisa.

Hii kuna mzee mtu mzima sana aliniambia baada ya kumuuliza why yeye anatumia konyaji tu na kama ni bia ni safari. Akasema miaka yote ndio vinywaji mwili umeshazoea. Mimi pia hubadili mara chache sana lakini nina common drinks zangu.

Ukisikia mwili hauko sawa usifosi, pumzika, kunywa maji mengi, juice n.k! Ukiwa sawa endelea kula vitu. Bila kusahau kulala vizuri [emoji2]

Ni muhimu kupeana tahadhari kwasababu tuna experience tofauti.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukisikia mwili hauko sawa usifosi, pumzika, kunywa maji mengi, juice n.k! Ukiwa sawa endelea kula vitu. Bila kusahau kulala vizuri [emoji2][emoji1545]
 
Day%20109_%20Diary%20entry_%20What%20a%20day%20%E2%80%93%20started%20with%20a_.jpg
 
Mbeya pazuri.....mbeya
Essence.............iringa
Bambalaga.........dom
Champion...........manyara
Picnic.................chuga
Juliana..............dar
Ze atla .............shy town

Hizi ndio sehemu niliofika nzuri
Shinyanga kuna level 1 ni pazuri sana. Ze atla mademu wachafu na pana vurugu sana kapo hapaboi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom