Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapa nimeulq kili ndogo 10 na ka toti ka banting na mchemsho daaah like sijatumia kitu vile.nipo nasubiri Man u nawaza natoa wapi tena hizo chupa?
 

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Mkuu Mshana Kwa kweli 2023 najiuzulu kwenye hiki chama Cha walevi na wanywaji.
 
Baada ya kufanya tathmini ya 2022 na kugundua hakuna hata kimoja nilichofanya nikaona nipoteze mawazo kwa staili hii
JPEG_20221228_161858_4665767202585965852.jpg
 
[emoji23][emoji23]Ayo mambo ya tarumbeta kunasiku nilijichanganya nikaanza safari nikapita mbugani Serengeti nikapanda mlima Kilimanjaro nikaingia kwenye jumba la Castle kubwakubwa nikavagaa K Vant kwa kupiga tarumbeta dakika iyoiyo nilirudisha chench nahisi kulikuwa na ushindani tumboni nani mbabe nani mnyonge atoke maskini ubishani wao nikatoa sembe nililopiga before.

Ubaya sikunywa maji baridi nikaenda kulala wewe nilishikilia kitanda kwa mikono yangu maana nilihisi napaa sasa nikaona apa ning'ang'anie hiki nachopaa nacho [emoji28][emoji23][emoji23]

Pombe sio chai wakuu nililia sana nikihisi ndo napaa hvyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aanze na kupunguza mm mwenyewe konyagi nimetafuna mno nilikua na uwezo wa kupiga tarumbeta konyagi kubwa ndio nianze bia lkn now ni mnywaji wa kawaida na konyagi yenyewe nainywa kwa nadra mno!
Sio rahisi Mkuu, nilianza na safari nikaona hola,nikaja kvant hola( nakunywa chupa mbili kubwa mwenyewe), valuer nayo mpaka nimix na Gin but hola, black label nayo hola, nmefikia level Double kick 5 nakunywa napiga na safari au nyagi ndogo ndo nalewa. Kilevyi ni balaa Sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom