Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimetafuta namna nyingi ya kujinusuru katka hali hii, naomba Mungu azidi kunisaidia ktk hili wajameni.Make nauguza pesa hakika,nauchosha mwili haswa (ingawa sioni)lkn naamin mwili unachoka

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kuna wakati itakata yenyewe.. Mimi kuna wakati almost ten years, nilikuwa nakunywa mpaka chupa 100 za konyagi kwa mwezi.. Hiyo pombe nimeinywa aisee acha kabisa! Lakini sasa naweza maliza mwezi sijagusa kilevi chochote
 
Pilo ya Pipa; Pia inajulikana kama vazi la Uhispania au vazi la mlevi. Ilitumika zaidi kudhalilisha na kudhalilisha wahasiriwa wake, Pillory isiyo na raha ilikuwa kimsingi pipa lenye sehemu ya juu iliyokatwa kwa ajili ya kichwa na mashimo ya mikono
20221216_040118.jpg
 
Nimetafuta namna nyingi ya kujinusuru katka hali hii, naomba Mungu azidi kunisaidia ktk hili wajameni.Make nauguza pesa hakika,nauchosha mwili haswa (ingawa sioni)lkn naamin mwili unachoka

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
[emoji51][emoji44]jitahidi upunguze maana kwa hatua yako kuacha ni ngumu
 
Kuna wakati itakata yenyewe.. Mimi kuna wakati almost ten years, nilikuwa nakunywa mpaka chupa 100 za konyagi kwa mwezi.. Hiyo pombe nimeinywa aisee acha kabisa! Lakini sasa naweza maliza mwezi sijagusa kilevi chochote
[emoji3][emoji3][emoji3]100 konyagi kwa mwezi salute comrade apo ni sawa na kea siku unakunywa chupa3.

Sema kwa Mishe zako za Mortuary kujimwagilia moyo muhimu[emoji23]
 
Sifai kwa offer ya mtu,mpk nimejiwekea utaratibu wa kukwepa kampani za watu wakati wa kunywa coz mtu mwingine anaweza kukuhisi vibaya kuwa unakomoa bill ya company,so ili nienjoy napenda kujinywea mimi km mimi mwenyewe Kwan kweli na kunywa wangu mpk najishangaa

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
kweli ww ni nyalumana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nilikuwa nakaa kwenye upangaji lkn,sasa siku nahama hiyo nyumba kwenda kwangu,tulikusanya tupu za konyagi kubwa na mdogo,za kvant na Value kabla hansonchoice haijaja nilijaza pick up moja.Na hizo ni zile ambazo nilikuwa nanywea home tu,Nadhan ningekusanya na zile za kunywea njiani ambazo ndo nyingi fuso ingelijaa.hayo ni makali tu.
Nilimwiita agent wa bia kuja kuchukua maganda ya bia tu anipe pesa;alikusanya creti 17 mchanganyiko hizi ni ambazo nilikuwa natoka nazo bar kuwa nitarudisha maganda na sirudishi,nikihesabu zile ambazo nilikuwa na kunywa bar bila kubeba ndo nyingi sana.
Bro hata km sijadhurika kiafya ila nimedhurika kipesa,sema tu sisi walevi hatupendi kujipigia hesabu ya pesa iendayo pombeni tungelichanyikiwa.Mimi kutomiliki Range au Ghorofa ya maana kwa hesabu za pombe ni uzembe wangu kabisaaaaaa.
Kwa unywaji huu ilibidi niende hospital kuchek hali ya maini na figo but wakakuta nipo fit 100%.
Ila naamin ipo siku nitaacha tena very soon,kwani kuna kipindi napata mchikemshike kazini mimi na mwajiri wangu,mimi na police ambapo kuna kero uwa zinajitokeza ambazo unakuta sababu kubwa ni kilevi;nipo najitafakari bro!

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Aanze na kupunguza mm mwenyewe konyagi nimetafuna mno nilikua na uwezo wa kupiga tarumbeta konyagi kubwa ndio nianze bia lkn now ni mnywaji wa kawaida na konyagi yenyewe nainywa kwa nadra mno!
[emoji23][emoji23]Ayo mambo ya tarumbeta kunasiku nilijichanganya nikaanza safari nikapita mbugani Serengeti nikapanda mlima Kilimanjaro nikaingia kwenye jumba la Castle kubwakubwa nikavagaa K Vant kwa kupiga tarumbeta dakika iyoiyo nilirudisha chench nahisi kulikuwa na ushindani tumboni nani mbabe nani mnyonge atoke maskini ubishani wao nikatoa sembe nililopiga before.

Ubaya sikunywa maji baridi nikaenda kulala wewe nilishikilia kitanda kwa mikono yangu maana nilihisi napaa sasa nikaona apa ning'ang'anie hiki nachopaa nacho [emoji28][emoji23][emoji23]

Pombe sio chai wakuu nililia sana nikihisi ndo napaa hvyo.
 
Leo nimetoka mwanza nimekaa porin kipindi kirefu sana nimeshukia hapa Lubumbash mbezi Luis hakika Jehanam ipo hapa,Raha usipime yaan
Hapo Kuna kila Aina ya uchafu,,,, mhudum ukimtaka unamzungusha hapo nyuma tu,,, pia Kuna wadada wanajuiza kimya kimya,,,, achana na hao wanaosimama kwa nyuma hapo,,Kuna ambao wanaekt ni wateja anaagiza soda au maji analamba tu hamalizi kumbe anatega ! Hatari sana
 
Kuna sehemu nilikuwa nakaa kwenye upangaji lkn,sasa siku nahama hiyo nyumba kwenda kwangu,tulikusanya tupu za konyagi kubwa na mdogo,za kvant na Value kabla hansonchoice haijaja nilijaza pick up moja.Na hizo ni zile ambazo nilikuwa nanywea home tu,Nadhan ningekusanya na zile za kunywea njiani ambazo ndo nyingi fuso ingelijaa.hayo ni makali tu.
Nilimwiita agent wa bia kuja kuchukua maganda ya bia tu anipe pesa;alikusanya creti 17 mchanganyiko hizi ni ambazo nilikuwa natoka nazo bar kuwa nitarudisha maganda na sirudishi,nikihesabu zile ambazo nilikuwa na kunywa bar bila kubeba ndo nyingi sana.
Bro hata km sijadhurika kiafya ila nimedhurika kipesa,sema tu sisi walevi hatupendi kujipigia hesabu ya pesa iendayo pombeni tungelichanyikiwa.Mimi kutomiliki Range au Ghorofa ya maana kwa hesabu za pombe ni uzembe wangu kabisaaaaaa.
Kwa unywaji huu ilibidi niende hospital kuchek hali ya maini na figo but wakakuta nipo fit 100%.
Ila naamin ipo siku nitaacha tena very soon,kwani kuna kipindi napata mchikemshike kazini mimi na mwajiri wangu,mimi na police ambapo kuna kero uwa zinajitokeza ambazo unakuta sababu kubwa ni kilevi;nipo najitafakari bro!

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Punguza mdogo mdogo mkuu,,, kuacha Mara moja inaweza kuwa ngumu
 
Hapo Kuna kila Aina ya uchafu,,,, mhudum ukimtaka unamzungusha hapo nyuma tu,,, pia Kuna wadada wanajuiza kimya kimya,,,, achana na hao wanaosimama kwa nyuma hapo,,Kuna ambao wanaekt ni wateja anaagiza soda au maji analamba tu hamalizi kumbe anatega ! Hatari sana
Pale kuna wa kila aina mzee alafu pale hakunaga utapeli kabisa, wale vibaka wote hawasogei pale. na wakigundua demu mwenzao ni mwizi wanamtimua mara moja. Msosi pale ni uhakika masaa 24 guest za pale ndio uchafu
 
Umeeleweka mh. Dalali Mkuu[emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom