Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23]Ayo mambo ya tarumbeta kunasiku nilijichanganya nikaanza safari nikapita mbugani Serengeti nikapanda mlima Kilimanjaro nikaingia kwenye jumba la Castle kubwakubwa nikavagaa K Vant kwa kupiga tarumbeta dakika iyoiyo nilirudisha chench nahisi kulikuwa na ushindani tumboni nani mbabe nani mnyonge atoke maskini ubishani wao nikatoa sembe nililopiga before.

Ubaya sikunywa maji baridi nikaenda kulala wewe nilishikilia kitanda kwa mikono yangu maana nilihisi napaa sasa nikaona apa ning'ang'anie hiki nachopaa nacho [emoji28][emoji23][emoji23]

Pombe sio chai wakuu nililia sana nikihisi ndo napaa hvyo.
Pole sn iyo michezo inataka timing na pumzi ya hali ya juu, hapo uwe umekandamiza minyama ya kutosha vinginevyo piston zitatokea mbavuni mwanawane[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jumapili tulivu ndani ya kyela
IMG_20221218_131855.jpg
 
Pole sn iyo michezo inataka timing na pumzi ya hali ya juu, hapo uwe umekandamiza minyama ya kutosha vinginevyo piston zitatokea mbavuni mwanawane[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli nyama muhimu,

Nje ya lengo kuna mdada nilikuwa napiga nae story mambo ya gambe akanambia sometime anakula blueband nyingi Kavu alaf anaingia kuzizagamua kali zozote lakini hazimyumbishi wala nini, Je kuna kaukweli apo?
 
Ni kweli kbs nathibitisha nishalamba kale ka blue band cha kopo nilikula fombe km nna majini tumboni[emoji119]
 
Kuna sehemu nilikuwa nakaa kwenye upangaji lkn,sasa siku nahama hiyo nyumba kwenda kwangu,tulikusanya tupu za konyagi kubwa na mdogo,za kvant na Value kabla hansonchoice haijaja nilijaza pick up moja.Na hizo ni zile ambazo nilikuwa nanywea home tu,Nadhan ningekusanya na zile za kunywea njiani ambazo ndo nyingi fuso ingelijaa.hayo ni makali tu.
Nilimwiita agent wa bia kuja kuchukua maganda ya bia tu anipe pesa;alikusanya creti 17 mchanganyiko hizi ni ambazo nilikuwa natoka nazo bar kuwa nitarudisha maganda na sirudishi,nikihesabu zile ambazo nilikuwa na kunywa bar bila kubeba ndo nyingi sana.
Bro hata km sijadhurika kiafya ila nimedhurika kipesa,sema tu sisi walevi hatupendi kujipigia hesabu ya pesa iendayo pombeni tungelichanyikiwa.Mimi kutomiliki Range au Ghorofa ya maana kwa hesabu za pombe ni uzembe wangu kabisaaaaaa.
Kwa unywaji huu ilibidi niende hospital kuchek hali ya maini na figo but wakakuta nipo fit 100%.
Ila naamin ipo siku nitaacha tena very soon,kwani kuna kipindi napata mchikemshike kazini mimi na mwajiri wangu,mimi na police ambapo kuna kero uwa zinajitokeza ambazo unakuta sababu kubwa ni kilevi;nipo najitafakari bro!

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Duu aisee🤭😂😅🙌
 
Wadauuuuu .!. Location za leo kesho mpaka mtondogoo tupeane codes[emoji1545][emoji1752][emoji818][emoji173]
 
Wadauuuuu .!. Location za leo kesho mpaka mtondogoo tupeane codes[emoji1545][emoji1752][emoji818][emoji173]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom