Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 439
- 1,405
Nini jamaa yangu tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa wewe
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nini jamaa yangu tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa wewe
Asante sana,hapa jana tu nimepiga tu-lusekelo 5 ndogo, hizo hazina shida ni ndogo,hizo naamka fresh but nikipiga zaidi ya hapo 5+ mara paap H choice,mara K vant ni hatari sana na ndo mapigo yangu japo yananitesa.Kuna kipindi nikaona ili nilewe fresh ni kuchanganya toti 1 ya Campari kwa kila chupa ya moja ya C lite but wapi yaani lite 10 kwa toti 10,hesabu zikawa hewa:L10=15000 +Campari 10=40000 jumla 55000 huo mwendo wa kila siku,nikaona naukaribisha umaskini hivi hivi na bado kitimoto 1kg hiyo 10Nyongo inazinguaga sana sema dawa yake ni kuitapika tu, ukiona vipi kamulia limao kwenye glass moja ya maji kunywa.
Mimi sio swala la kiafya ni vile sometime najisahau kama nikilala nikiamka sio poa moyo unaruka kifrog frog
Upo sawa bro Mshana hizi pombe mpya kali ni hatari sana husithubutu,kuna pombe moja inaitwa Livella [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan kichupa cha 200ml unaweza jinyea sijui hawa mbwa wanaweka nini,inapendwa umasaini kwa sababu ya baridi but kila siku wanakoswakoswa kuliwa na fisi mitaroni,hizi pombe mpya ni janga la kitaifaSikushauri sana utumie hizi pombe mpya za hasa hizi za bei poa! Zina viwango hafifu sana
20+ bado husikii kitu kweli bia kwako ni kama maji, sema ushakuwa komba[emoji23]
NajaKonondoni Ada Estate
Karibu sanaaNaja
Sikushauri sana utumie hizi pombe mpya za hasa hizi za bei poa! Zina viwango hafifu sana
Wewe ni ndugu yangu japo tunatofautiana hapo kwenye afya,mimi sina tatizo na hilo la moyo, tatizo langu ni nyogo tu,nasumbuliwa na nyongo kesho yake mpk niitapike niitoe ndo aoweni yangu. Natamani kuacha makali lkn nimeshindwa.
Sina shida na beer;ni mpenzi wa Castle lite baridi but shida inakuja kwenye kupurura pesa kwani mpk lite niipate kichwani kidogo ni kuanzia 20 bottles na kuendelea na bado sisikii chochote mwisho wa siku inabidi niongeze kikali juu ili kurudi kwenye lengo ambalo ni kulewa make raha ya pombe ni kulewa.
Nishauri ndugu yangu,bia kwangu ni km maji naunguza pesa tu kwn nakunywa nyingi mno.Makali nayo ndo yananitesa na nyongo,kuacha nako haiwezekani
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Naona unakula sungura[emoji23][emoji23]
Kunyweni pombe safi kama vile Ballatines, red lebel, black lebel, black & white nk.Mimi ni ndugu yenu pia, tatizo langu na pombe kali ni kwenye kuharibu muonekano wa usoni yani macho kuwa mekundu na midomo kuungua hicho kitu sikipendi basi tuu.
Pole,ukiona yangu midomo unaogopa!!Pole yetu jamani.Wamasai wanasema "kumanina zeetu"[emoji23][emoji2][emoji23]Mimi ni ndugu yenu pia, tatizo langu na pombe kali ni kwenye kuharibu muonekano wa usoni yani macho kuwa mekundu na midomo kuungua hicho kitu sikipendi basi tuu.
Ni sawaKunyweni pombe safi kama vile Ballatines, red lebel, black lebel, black & white nk.
Sifai kwa offer ya mtu,mpk nimejiwekea utaratibu wa kukwepa kampani za watu wakati wa kunywa coz mtu mwingine anaweza kukuhisi vibaya kuwa unakomoa bill ya company,so ili nienjoy napenda kujinywea mimi km mimi mwenyewe Kwan kweli na kunywa wangu mpk najishangaa20+ bado husikii kitu kweli bia kwako ni kama maji, sema ushakuwa komba[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]nyie ndo walevi mkipita karibu na moto mnaungua.Sifai kwa offer ya mtu,mpk nimejiwekea utaratibu wa kukwepa kampani za watu wakati wa kunywa coz mtu mwingine anaweza kukuhisi vibaya kuwa unakomoa bill ya company,so ili nienjoy napenda kujinywea mimi km mimi mwenyewe Kwan kweli na kunywa wangu mpk najishangaa
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nimetafuta namna nyingi ya kujinusuru katka hali hii, naomba Mungu azidi kunisaidia ktk hili wajameni.Make nauguza pesa hakika,nauchosha mwili haswa (ingawa sioni)lkn naamin mwili unachoka[emoji16][emoji16][emoji16]nyie ndo walevi mkipita karibu na moto mnaungua.
Hivi huwa hamjagi Governors??