Energy sijawahi mix, labda kama kutokula kunachangia maana nna kauvivu fulani kwenye hiyo sekta. Na kesho yake nikila ndo hiyo hali inajidouble mpaka najiogopaAcha kuzimix na energy drink..
Leo nipo hapo 23:30 hrsHivi huwa hamjagi Governors??
Karibu sanaaaLeo nipo hapo 23:30 hrs
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Buku jero Ndo unanukamdomo week nzma ,,piga Heinken au Budweiser hautojuta
karibu tena the champion upate bia baridii ukisindikiza na nyama choma swafiii kabisaNimetembea baadhi ya mikoa ambapo Kuna bar maarufu na sehemu za starehe ambapo watu wanapata kumwagilia moyo, Sasa Leo nimeona niwakumbuke walevi na wazee wa Bata na nawauliza bila kupepesa macho , je katika nchi hii ni Kiwanja Gani kina Pisi kali sana yaaani wahudumu wakinadada, pia Kuna bar Moja yenyewe imeajiri watu wenye degree tu , mabaunsa, wapishi, watu wa kusave.
Mimi Kwa upande wangu Kuna Kiwanja kinaitwa the champion kipo manyara ndo namba Moja, ikifuatiwa na waswanu iliyopo dodoma Halaf kitambaa cheupe dar es salaam
Boxing day nawaalika wote mtakao pendezwa kutokea maeneo haya ya Governors karibuni sanaTupe mualiko tuu
Asante sana ntakuja hapo nijiwasheBoxing day nawaalika wote mtakao pendezwa kutokea maeneo haya ya Governors karibuni sana
Karibu sana mkuuAsante sana ntakuja hapo nijiwashe
Asante PrincessKaribu sana mkuu
Karibu hata new year sio mbayaDah thanks sana but i think won't make it naweza kuwa mkoani but before new year naweza kuwa nimesharejea mjini