Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo nimetoka mwanza nimekaa porin kipindi kirefu sana nimeshukia hapa Lubumbash mbezi Luis hakika Jehanam ipo hapa,Raha usipime yaan
No ndivo maisha yalivyo hujui Sehem gan au mkoa gani utatoboa mkuu,,uzuri nikwamba Tanzania ruksa kuishi unapo penda.muhim kujua kila mji unawenyeji wake .akiba ya maneno na matendo nimuhim sana
 
Huku sijui najichomoa aje ni ni mtu wa vikali vant, nyagi, don, hanson shida nikwamba nikizikata usiku kesho yake asubuhi mapigo ya moyo yanaenda kasi afu randomly bila ridhim
Ni kawaida ama nijikatae mapema
Ni. Sina tatizo la pressure umri bado young
Wewe ni ndugu yangu japo tunatofautiana hapo kwenye afya,mimi sina tatizo na hilo la moyo, tatizo langu ni nyogo tu,nasumbuliwa na nyongo kesho yake mpk niitapike niitoe ndo aoweni yangu. Natamani kuacha makali lkn nimeshindwa.
Sina shida na beer;ni mpenzi wa Castle lite baridi but shida inakuja kwenye kupurura pesa kwani mpk lite niipate kichwani kidogo ni kuanzia 20 bottles na kuendelea na bado sisikii chochote mwisho wa siku inabidi niongeze kikali juu ili kurudi kwenye lengo ambalo ni kulewa make raha ya pombe ni kulewa.
Nishauri ndugu yangu,bia kwangu ni km maji naunguza pesa tu kwn nakunywa nyingi mno.Makali nayo ndo yananitesa na nyongo,kuacha nako haiwezekani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni ndugu yangu japo tunatofautiana hapo kwenye afya,mimi sina tatizo na hilo la moyo, tatizo langu ni nyogo tu,nasumbuliwa na nyongo kesho yake mpk niitapike niitoe ndo aoweni yangu. Natamani kuacha makali lkn nimeshindwa.
Sina shida na beer;ni mpenzi wa Castle lite baridi but shida inakuja kwenye kupurura pesa kwani mpk lite niipate kichwani kidogo ni kuanzia 20 bottles na kuendelea na bado sisikii chochote mwisho wa siku inabidi niongeze kikali juu ili kurudi kwenye lengo ambalo ni kulewa make raha ya pombe ni kulewa.
Nishauri ndugu yangu,bia kwangu ni km maji naunguza pesa tu kwn nakunywa nyingi mno.Makali nayo ndo yananitesa na nyongo,kuacha nako haiwezekani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nyongo inazinguaga sana sema dawa yake ni kuitapika tu, ukiona vipi kamulia limao kwenye glass moja ya maji kunywa.
Mimi sio swala la kiafya ni vile sometime najisahau kama nikilala nikiamka sio poa moyo unaruka kifrog frog
 
Vp kuhusu hii pombe kali herdsman, nimetumia zaidi ya mara moja kila nikitumia kesho napata kwikwi inayopungua kwa wiki Naima maana nilikuwa sijui tatizo la kwikwi linasababishwa na nini mpaka nikataka kwenda hospital lakini nikaja kujua tatizo hii pombe
 
Sikushauri sana utumie hizi pombe mpya za hasa hizi za bei poa! Zina viwango hafifu sana
 
Dawa ya nyongo asbh baada ya kula vyombo gonga glass ya ukwaju glass mbil utaendesha kdg jasho litakutoka mpk mgongoni hapo utajiskia murua na jion tena utaenda kula msopage!
Hata mtindi unafaa sana
 
Wewe ni ndugu yangu japo tunatofautiana hapo kwenye afya,mimi sina tatizo na hilo la moyo, tatizo langu ni nyogo tu,nasumbuliwa na nyongo kesho yake mpk niitapike niitoe ndo aoweni yangu. Natamani kuacha makali lkn nimeshindwa.
Sina shida na beer;ni mpenzi wa Castle lite baridi but shida inakuja kwenye kupurura pesa kwani mpk lite niipate kichwani kidogo ni kuanzia 20 bottles na kuendelea na bado sisikii chochote mwisho wa siku inabidi niongeze kikali juu ili kurudi kwenye lengo ambalo ni kulewa make raha ya pombe ni kulewa.
Nishauri ndugu yangu,bia kwangu ni km maji naunguza pesa tu kwn nakunywa nyingi mno.Makali nayo ndo yananitesa na nyongo,kuacha nako haiwezekani

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa wewe
 
Ok
JPEG_20221213_172510_9012891340509274926.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom