Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,628
- 5,261
Natengua kauli nimegundua hangover na unywaji wa kisengerema ndio tatizo naanza kunywa heinken basi
Pumzika kidogoHuku sijui najichomoa aje ni ni mtu wa vikali vant, nyagi, don, hanson shida nikwamba nikizikata usiku kesho yake asubuhi mapigo ya moyo yanaenda kasi afu randomly bila ridhim
Ni kawaida ama nijikatae mapema
Ni. Sina tatizo la pressure umri bado young
mapema tu.. 😋😋
Naaam.. nikitoka Windhoek na Corona basi Safari iko paleKinywaji chako pendwa
Mapumziko mkuu tunaanza mapema...mapema tu.. [emoji39][emoji39]
Itanibidi aseePumzika kidogo
Dah hali ndiyo iko hivyo siku hizi maana sijaenda hapo muda kiasi toka 2019 nadhani. Ila kipindi hicho ilikuwa inabamba mbaya watu nyomi, weekend hivi hata sehemu ya kukaa ulikuwa hupati ukichelewa.Oxygen pako makini ila pamepoa sana, nadhan sababu ya aina ya watu wanaokuwa pale wengi ni 'wadosi', vijana hamna kabisa
Mazee...umeisahau city pub mbeyaPicnic Chuga, Tips lounge na Kidimbwi Dar, Juliana pub Dar, Rainbow Dom, Diamond Mwanza, Liquid kurasini, Star park Moro, Oxygen Tabora
City pub Mbeya haina maajabu sana sikuhizi, Mbeya pazuri na kwa Mwailiubi naona ndiyo kuna bamba, ila kwa misosi bado city pub wako njema sana. Kuna La Chaz Songea na Shooterz Mtwara nazo nilizielewa kiasi, dah nchi kubwa hiiMazee...umeisahau city pub mbeya
Code ziko mahala pake[emoji122][emoji122]
Thanks manCode ziko mahala pake[emoji122][emoji122]
Acha kuzimix na energy drink..Huku sijui najichomoa aje ni ni mtu wa vikali vant, nyagi, don, hanson shida nikwamba nikizikata usiku kesho yake asubuhi mapigo ya moyo yanaenda kasi afu randomly bila ridhim
Ni kawaida ama nijikatae mapema
Ni. Sina tatizo la pressure umri bado young