Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mbeya- city pub


Mwanza cask, bonasari sijui siku hizi

Moro samaki samaki

Dsm kitambaa cheupe sinza japo viwanja huwa vya msimu
Q bar, new maisha pub, kuna moja siijui vzr but sunset
Dodoma babalanga

Arusha Triple A, billionaire lounge, cocorico




Sent from my M2101K9AG using JamiiForums mobile app
Salute kubwa sumbai
giphy.gif
 
Wadau wa hapa shinyanga mjini,, viwanja ni vichache ila atleast Ze Atla, La Prince na level One panaweza kufaa. Umakini ni lazima popote pale na ustaarabu ni muhimu pia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Level one kiwanja cha maana sana kile ila kimepoa. Ukitaka ushenzi nenda the atla lkn wahudumu na machangudoa wachafuu alaf wazee hahaaa
 
Mbeya- city pub


Mwanza cask, bonasari sijui siku hizi

Moro samaki samaki

Dsm kitambaa cheupe sinza japo viwanja huwa vya msimu
Q bar, new maisha pub, kuna moja siijui vzr but sunset
Dodoma babalanga

Arusha Triple A, billionaire lounge, cocorico




Sent from my M2101K9AG using JamiiForums mobile app

Kwa mbeya saivi ni mbeya pazuri… city pub kapigwa bao
 
Jamanii tutafte pesa Heinken tamu unapiga hata 100 hauyumbi unalewa kizungu,,afu piss zinakupa chati ya class A, ndo uwe na ndinga kaa gdx 100 langu la Bei Chee wewe tu na roho yako
Duh, wasukuma bwana
 
Picnic Chuga, Tips lounge na Kidimbwi Dar, Juliana pub Dar, Rainbow Dom, Diamond Mwanza, Liquid kurasini, Star park Moro, Oxygen Tabora
Oxygen pako makini ila pamepoa sana, nadhan sababu ya aina ya watu wanaokuwa pale wengi ni 'wadosi', vijana hamna kabisa
 
Huku sijui najichomoa aje ni ni mtu wa vikali vant, nyagi, don, hanson shida nikwamba nikizikata usiku kesho yake asubuhi mapigo ya moyo yanaenda kasi afu randomly bila ridhim
Ni kawaida ama nijikatae mapema
Ni. Sina tatizo la pressure umri bado young
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom