SunsetHapo kwa mama Bonge?
Elezea sifa za champion, waswanu nakitambaa cheupe kiupekee wa kila kiwanja, ntapita Manyara before New year nikapaoneNimetembea baadhi ya mikoa ambapo Kuna bar maarufu na sehemu za starehe ambapo watu wanapata kumwagilia moyo, Sasa Leo nimeona niwakumbuke walevi na wazee wa Bata na nawauliza bila kupepesa macho , je katika nchi hii ni Kiwanja Gani kina Pisi kali sana yaaani wahudumu wakinadada, pia Kuna bar Moja yenyewe imeajiri watu wenye degree tu , mabaunsa, wapishi, watu wa kusave.
Mimi Kwa upande wangu Kuna Kiwanja kinaitwa the champion kipo manyara ndo namba Moja, ikifuatiwa na waswanu iliyopo dodoma Halaf kitambaa cheupe dar es salaam
Mada nzuri kwa mwezi huu wa mavunoNimetembea baadhi ya mikoa ambapo Kuna bar maarufu na sehemu za starehe ambapo watu wanapata kumwagilia moyo, Sasa Leo nimeona niwakumbuke walevi na wazee wa Bata na nawauliza bila kupepesa macho , je katika nchi hii ni Kiwanja Gani kina Pisi kali sana yaaani wahudumu wakinadada, pia Kuna bar Moja yenyewe imeajiri watu wenye degree tu , mabaunsa, wapishi, watu wa kusave.
Mimi Kwa upande wangu Kuna Kiwanja kinaitwa the champion kipo manyara ndo namba Moja, ikifuatiwa na waswanu iliyopo dodoma Halaf kitambaa cheupe dar es salaam
Picnic kuna visu hatari sijuhi selection critaria huwa ikoje. Yaani uwa hamna kazi mbovu.Picnic Chuga, Tips lounge na Kidimbwi Dar, Juliana pub Dar, Rainbow Dom, Diamond Mwanza, Liquid kurasini, Star park Moro, Oxygen Tabora
Ni noma ndugu kila nikienda chuga lazima nihudhurie hapo kuosha machoPicnic kuna visu hatari sijuhi selection critaria huwa ikoje. Yaani uwa hamna kazi mbovu.
Ebanaeee wapi hapo?Dar es salaam ni balaa. Kuna siku nimeingia bar asubuhi nizimue safari baridi niwahi mishe zangu, nikawakuta wasichana warembo ndio kwanza wanaosha glasi. Nikaulizia game nikazungushwa huko nyuma, nikafinyiwa kwa ndani fasta. Binti mdogo ziwa saa mbili, nikamuuliza uwaogopi wenzako watakupakazia kwa bosi, akaniambia hapa kila mtu anafanya. Yaani Dar ni full laana.
Machangu rasmi wale..Picnic kuna visu hatari sijuhi selection critaria huwa ikoje. Yaani uwa hamna kazi mbovu.
Nitapita hapo nijioneePicnic kuna visu hatari sijuhi selection critaria huwa ikoje. Yaani uwa hamna kazi mbovu.
Oiii toa location ya hiyo bar kesho niwahi asubuhi Chaaaap!Dar es salaam ni balaa. Kuna siku nimeingia bar asubuhi nizimue safari baridi niwahi mishe zangu, nikawakuta wasichana warembo ndio kwanza wanaosha glasi. Nikaulizia game nikazungushwa huko nyuma, nikafinyiwa kwa ndani fasta. Binti mdogo ziwa saa mbili, nikamuuliza uwaogopi wenzako watakupakazia kwa bosi, akaniambia hapa kila mtu anafanya. Yaani Dar ni full laana.
Ebanaeee wapi hapo?
Oiii toa location ya hiyo bar kesho niwahi asubuhi Chaaaap!