Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_20220318_201202_335.jpg
 
yan brother mshana unavyofagilia vyombo nakuangalia dah Mimi vimeniweka pabaya sana,hivyo nyie mpaka mnavicontrol mnafanyaje?
Inabidi kujiwekea limit na siku maalum za kupiga vyombo.. Hii kitu inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana ma kujitambua hasa...kwakuwa ukiipa nafasi kidogo inakuchapa mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom