Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kitaa
20220302_130238.jpg
 
Kweli nimeamini pombe sio kwa kila mtu,Jana nilikuwa na mawazo ya biashara familia nikasema nijitungue na kvant ndogo nipate stimu fasta .
Nikakimaliza kichupa chote nikaenda kulala baada ya dakika 50 nimeshtuka naona kitanda kinazunguka speed ya ajabu tumbo linanyonga balaa naona roho inataka kuacha mwili nilijisemea moyoni leo ndio mwisho wangu,kimbembe nilikuwa nakilia timing kitanda ili niruke kumbe kitanda hakizunguki wala nini nikaruka nikaenda toilet.
Salama yangu ilikuwa baada ya kutapika nikajisikia nafuu mwilini,mwili uliishiwa nguvu nikajikuta nimelala bafuni mpka asubuhi..
Bora niendelee na safari lager zangu tu sio hizi spirit
 
Kvant ndogo ndo ikutese hvi kiongozi aisee inabd tukae kikao nikupe mbinu
 
Kweli nimeamini pombe sio kwa kila mtu,Jana nilikuwa na mawazo ya biashara familia nikasema nijitungue na kvant ndogo nipate stimu fasta .
Nikakimaliza kichupa chote nikaenda kulala baada ya dakika 50 nimeshtuka naona kitanda kinazunguka speed ya ajabu tumbo linanyonga balaa naona roho inataka kuacha mwili nilijisemea moyoni leo ndio mwisho wangu,kimbembe nilikuwa nakilia timing kitanda ili niruke kumbe kitanda hakizunguki wala nini nikaruka nikaenda toilet.
Salama yangu ilikuwa baada ya kutapika nikajisikia nafuu mwilini,mwili uliishiwa nguvu nikajikuta nimelala bafuni mpka asubuhi..
Bora niendelee na safari lager zangu tu sio hizi spirit
kimbembe nilikuwa nakilia timing kitanda ili niruke kumbe kitanda hakizunguki wala nini nikaruka nikaenda toilet.[emoji23]
 
Natangaza kupumzika pombe kwa siku 90....

Siku hizi nikinywa nikiamka asubuhi roho inakua inaniuma sana na kujutia. Sijui kwa nini roho inauma ila naona pombe inanifanya niwe na stress sana.

Mi ni yule nikianza kunywa ni mpaka pombe iishe. Kama tukianza mzinga ujue utaisha tu.

Ngoja niende half time....
 
Mi ni yule nikianza kunywa ni mpaka pombe iishe. Kama tukianza mzinga ujue utaisha tu.,[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Mkuu shida iko hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom