Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.
Screenshot_20220328-043903_Facebook.jpg
 
Kama una uwezo anza na windhockau Heineken.

Au kawaida tu Castle lite.

Me et sijatumia wiki 2 sasa,aisee huwezi amini haoa muda huu kiuuu natamani nipate hata lite 3 saa mbili hii
Ngoja nianze na Redd bull🙄
 
Hapa niliandika gazeti halafu nimefuta.
Kwa ufupi kabisa jiepusheni na pombe za kwenye kichupa wanayouza nusu 1000 usiku wa manane barabarani huko. Nunua nzima uibikiri mwenyewe.

Sinywagi, lakini
wiki iliyopita nilikunywa nusu ya buku usiku kama saa tisa hivi mahali fulani.
Asubuhi nimeamka nimevimba uso, miguu na mikono.
Nikaenda kupima nikaonekana mzima kabisa, dr akaniuliza kuna kitu ambacho hutumiagi umekitumia jana? Nikakitaja hicho kinywaji, akasema wewe ni mtu wa pili, usinywe tena. Kanywe maji mengi sana.
 
Asante kwa kushare nasi.. Hizo ni pombe feki na zinaumiza sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom