Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,027
- 14,921
Ngoja nibonye reset buttonMi ni yule nikianza kunywa ni mpaka pombe iishe. Kama tukianza mzinga ujue utaisha tu.,[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Mkuu shida iko hapo
Ngoja nibonye reset buttonMi ni yule nikianza kunywa ni mpaka pombe iishe. Kama tukianza mzinga ujue utaisha tu.,[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
Mkuu shida iko hapo
Sina hata mia mbovu, tukaribishane tu.Haka kadude kameshika hatam mjini! View attachment 2147583
Mimi nimeshatimiza mwezi mkuu...Natangaza kupumzika pombe kwa siku 90....
Siku hizi nikinywa nikiamka asubuhi roho inakua inaniuma sana na kujutia. Sijui kwa nini roho inauma ila naona pombe inanifanya niwe na stress sana.
Mi ni yule nikianza kunywa ni mpaka pombe iishe. Kama tukianza mzinga ujue utaisha tu.
Ngoja niende half time....
Mimi kesho inatimia week ila kwa kweli ni mtihani.... kiu inakaba mno..Mimi nimeshatimiza mwezi mkuu...
Nilikuwa naelekea kifo..
Im happy now.
Amua tu...Mimi kesho inatimia week ila kwa kweli ni mtihani.... kiu inakaba mno..
Hebu nipe mbinu
Katamu kama naniliuHaka kadude kameshika hatam mjini! View attachment 2147583
Mwenye kujua madhara ya ku mix energy drink na viywaji vikali atoe ufafanuz tafadhali
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Sasa huku kwenye mada za walevi unafata nini mbona watu mnapenda kulazimisha kufokolewa??shida ya walevi ni kujisaidia ovyo haja kubwa na ndogo, ukienda washroom wanazotumia kunanuka pombe tu na uchafu kutapakaa. pombe hainaga adabu. kuna mdada mmoja siku moja alijikojolea na pombe ikishuka chini anapenda kupiga madole. ujinga mtupu, ukiwa na mke mlevi jua huna mke. nikiwa shule, nakumbuka mwalimu wetu alikuwa akilewa kesho asubuhi wanaokota nguo yake ya ndani mtaani watu walimvua na kujisevia kinyesi, ni mwalimu wa kiume.
Kapombe kepesi hako mnakapendea nn Mkuu?Haka kadude kameshika hatam mjini! View attachment 2147583