Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,482
- 867,256
- Thread starter
- #25,921
Kazi na tembe... Sio tembeleTupoze kooView attachment 2151775
Kazi na tembe... Sio tembeleTupoze kooView attachment 2151775
Kazi na tembe... Sio tembele
Wepes wake na wepes wa misos tunayokula vinaendana mkuu!Kapombe kepesi hako mnakapendea nn Mkuu?
Kazi iendelee[emoji120]
Zipo lakini zinauwa nguvu xa mwili za kiume na machoHabari wakuu. Naomba kwa anayejua pombe kali hizi zinazofungwa kwenye chupa za plastiki ambayo ni ya bei ya chini kuliko zote anijuze. Jana nilikuwa naongea na jamaa kwenye sehemu yangu ya kinywaji akaniambia alienda mahali Moshi akakuta pombe ya sh 500 ila amesahau jina. Sikuamini nikasema ngoja niulize humu kama ni kweli!
mh! Ni pombe zinazotengenezwa na kiwanda rasmi kabisa?Zipo lakini zinauwa nguvu xa mwili za kiume na macho
Mshana kuna swali jamaa kauliza, kuhusu energy drinks kumix ktk pombe kali, tutolee ufafanuzi km kuna madhara mkuuYeah kule Moshi kuna moja inaitwa Simba inalalamikiwa mno
Daah umenitamanisha mkuu, ngoja usiku ufike.Tupoze kooView attachment 2151775
Una namba ya huyu dada??
Una namba ya huyu dada??
Huyu dada kanifaya nicheke sanaa.Ninayo ndio mkuu