Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Niko nafanya jambo hapa na kvant
IMG-20220210-WA0022.jpg
 
Nipo Bukoba ndo mara ya kwanza kufika huu mkoa,,jana nilipata wasaa mchana wa kutulia Bukoba coops ni sehemu iliyopembezoni mwa Ziwa victoria usiku nikaenda Liquid Lounge ipo maeneo ya Stand ya mkoa....nilichokigundua kwa jana watu wa bukoba wana ubinafsi sana tofauti na miji mingine mikubwa(Dar,Dom,Arusha)ni lounge kubwa watu kibao ila daah wote wanajuana wanasemeshana kihaya tu,,mademu kibao ila wote wanajuana na washkaji nilijitahidi kutafuta kampani ikagoma kuna pisi moja kalii sana mtoto mrefu mithili ya twiga umbo la kihaya Og nilimuelewa nikamkonyeza akatabasamu nimasema wacha niyajenge nae nione,,nikamkaribisha kinywaji akaagiza bia wakati tunaaanza kujuana akaja demu akamuongelesha kihaya wakatoka kurudi mara wamekuja masela daah hakuwa tena na muda na mimi yani wao kwa wao...kwa bahati nataka kusepa kuna watasha(wazungu)wakaingia wakaja nilipokaa tukasalimiana kutambulishana pale wakanambia wao pia ni wageni wanafundisha shule flani hapo mjini(nimeisahau) hawa ndo tulikaa pamoja tukanywa sasa angalau nikona raha ya bia....by saa 10 ndo nilitoka pale
Dj mziki anapangilia vizuri ila watu wake daah wabinafsi sana
 
Wanaboa sana kila mahali kihaya khaaa
 
shida ya walevi ni kujisaidia ovyo haja kubwa na ndogo, ukienda washroom wanazotumia kunanuka pombe tu na uchafu kutapakaa. pombe hainaga adabu. kuna mdada mmoja siku moja alijikojolea na pombe ikishuka chini anapenda kupiga madole. ujinga mtupu, ukiwa na mke mlevi jua huna mke. nikiwa shule, nakumbuka mwalimu wetu alikuwa akilewa kesho asubuhi wanaokota nguo yake ya ndani mtaani watu walimvua na kujisevia kinyesi, ni mwalimu wa kiume.
 
Sheria ama kanuni tatu muhimu za pombe
1. Jitambue wewe ni nani
2. Jitambue uko wapi
3. Jitambue unafanya nini
Ukiyashindwa hayo acha pombe haikufai ama huiwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom