LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,390
- 6,539
Anayegombana nawe Ana lake jambo,Nataka nirudi eneo la tukio kwanza nadhani kesho .. Msiwe na wasiwasi lazima nitaleta mrejesho hapa
Mimi stage ya kukuwekea madawa?
Pole sana mkuu wa kilinge
Anayegombana nawe Ana lake jambo,Nataka nirudi eneo la tukio kwanza nadhani kesho .. Msiwe na wasiwasi lazima nitaleta mrejesho hapa
Passion juiceHivi kiboko ya Hangover ni nini?
Kazi ngumuHivi kiboko ya Hangover ni nini?
Tafuta mbususu uigonge asubuhi asubuhi. Iwe mpya, siyo uliyolala nayo. Ukishusha mzigo na mninginio kwishney!Hivi kiboko ya Hangover ni nini?
...na hapo kuna mizani, lori zinapiga breki za kutosha.... wadangaji wapo wa kutosha. Jichanganye uchanganywe!....Kumbe morogoro kunawatoto wazuri yaaan hapa raha sana mikese pub napita tu waungwana
HahahahaNimeona Clip ya Shekhe Kipoozeo akisema Mbinguni Kutakuwa Na Mito Ya Pombe Tamu Kwa Wenye Kunywa na akasoma huo mstari unaothibitisha hilo....
Imenipa faraja kumbe hata mbinguni ugimbi upooView attachment 1995542
Umeenda baa gani?? Mbona viwanja vya nje vipo kibaoNko Arusha ila sijaona bar za kijanja mji bado una uzamani...hzi bar za kurundikana ndani utadhani mko kwenye ibada zinapitwa na wakati sasa.
Nipe viwanja Kaka yawezekana nimetumia udhoefu wangu wa zaman coz niliwah kukaa huu mji miaka ya nyuma na Sasa nimerudi .Umeenda baa gani?? Mbona viwanja vya nje vipo kibao
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Nenda Billys RiverNipe viwanja Kaka yawezekana nimetumia udhoefu wangu wa zaman coz niliwah kukaa huu mji miaka ya nyuma na Sasa nimerudi .
Pale picnic naona bado Ni ile ile,Kipong pale customer care zero kabisa niliishia kwenda Mopao Moshono live band uchwara.
Hii nimeambiwa nitaenda wkend iko mitaa ya Kule nakummat ya zamani..?
Makao Mapya Ilipo ofisi kuu ya Bus Za Mtei....Nakumat mbaliHii nimeambiwa nitaenda wkend iko mitaa ya Kule nakummat ya zamani..?