Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo nilikuwa Kisemvule na nilikutana na BALOTEL na tukajadili kwa kina tukio nililoripoti hapa la kuwekewa madawa kwenye kinywaji.. Kuna uwezekano mkubwa tatizo lilikuwa kwenye kinywaji husika kwakuwa hata yeye alipata tatizo linalofanana na langu
Hili ndio eneo husika la siku hiyo na leo pia..
Kwa taarifa hii hili jalada limefungwa rasmiView attachment 1997214View attachment 1997215
Safi kbs, kiume zaidi[emoji1666]
 
Mkuu ulipiga Tena chombo Apo Apo wakati mnajadili..?
 
Screenshot_20211105-033113.jpg
 
Nko Arusha Bills Bar
Arusha bado washamba Sana ....

Kuna mdau alinambia hapa ndo sehem Ina bamba lakin hamna kitu aisee .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom