Mwaka 2000 kulikuwaga ma sherehee kitaa zikakorogwa ndoo kama tano za hii kitu tukawa tunapewa kwenye kikombe
Bia zetu hizo nyanda za juu kusini,Dar huwezi kuikuta.TView attachment 1992498kuna hii kitu nmekutana nayo iringa ni balaa
Yaan hizo bia za kijani sijui lite zimenishinda kabisa, labda nishtue na nyagiBia zimekuwa kama maji
Mtu unakunywa kilimanjaro 6 hata huchangamki
Hakuna ladha ya pombe kabisa
Na hivi vi castle lite
"if the money you have can't solve your problem eat that money "by unknown ...sio kesiNimeshindwa juzi kati tu nilikua na saving ya 1m leo sina ata mia duu
Ze Bingwa.TView attachment 1992498kuna hii kitu nmekutana nayo iringa ni balaa
KONYAGI.
Ati unaeka pesa ununue bati,"if the money you have can't solve your problem eat that money "by unknown ...sio kesi
[emoji23][emoji23][emoji23]..Tunalewa Bongo Done....Wanangu washaanza kutoa Siri ZaoHahaha sawa kiongoziView attachment 1995143
Itakua mwendo wa tozo tuhaha sipati picha siku akiwa Rais mlokole! bia hazitatengenezwa tutakosa kodi na tutalimia meno