Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

FB_IMG_1635477389089.jpg
 
Ndio imebidi nipitie tena story yako nimekutumia sms inbox tafadhali nipigie
Hiki kitu mpaka nije huko tena ndio maana kuna details nyingi sana sikuandika hapa.. Lakini hili tukio limeniumiza mno.. Inawezekana huhusiki lakini kuna kitu kilitokea kwenye kile kinywaji nilichokunywa.. Nisingekuwa imara na pombe nadhani ningepata ajali barabarani wakati wa kurudi
 
Kuna kitu kilitokea siku ile ambacho si cha kawaida kwenye kinywaji nilichokunywa.. Na most likely ni kitu cha kulevya haraka.. Nabaki najiuliza ni nani alikuwa nyuma ya hili?
Huu mjadala tuuondoe hapa na nitafuta post husika kwa muda
 
Hiki kitu mpaka nije huko tena ndio maana kuna details nyingi sana sikuandika hapa.. Lakini hili tukio limeniumiza mno.. Inawezekana huhusiki lakini kuna kitu kilitokea kwenye kile kinywaji nilichokunywa.. Nisingekuwa imara na pombe nadhani ningepata ajali barabarani wakati wa kurudi
Dah pia nitajaribu kulifanyia kazi bahati nzuri bado nipo maeneo haya haya. Muda ni rafiki mzuri
 
Mkuu mbona hata huonyeshi mshtuko? Mtu mlikua mnakunywa naye aseme aliwekewa madawa unasema "NOTED" Huonyeshi hata kuogopa kwanini sio wewe uliwekewa hayo madawa?

Any way angalizo humu JF Tuitane members lakini sio marafiki. Marafiki ni wale wa kujuana otherwise we are strangers to each other.
 
Hiki kitu mpaka nije huko tena ndio maana kuna details nyingi sana sikuandika hapa.. Lakini hili tukio limeniumiza mno.. Inawezekana huhusiki lakini kuna kitu kilitokea kwenye kile kinywaji nilichokunywa.. Nisingekuwa imara na pombe nadhani ningepata ajali barabarani wakati wa kurudi
Loh, nimeshtuka mno! Kwenye maisha tunaponea chupuchupu katika mambo na maeneo mengi, kila mahali ni mitego na majaribu. Tushukuru Mungu bado tunadunda. Pole sana, tena sana!
 
Mkuu mbona hata huonyeshi mshtuko? Mtu mlikua mnakunywa naye aseme aliwekewa madawa unasema "NOTED" Huonyeshi hata kuogopa kwanini sio wewe uliwekewa hayo madawa?

Any way angalizo humu JF Tuitane members lakini sio marafiki. Marafiki ni wale wa kujuana otherwise we are strangers to each other.
Atakujibu yeye kwanini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom