Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kuna muda huwa nawaza na kujiuliza ila sijawaigi pataga majibu.....
Ivi sisi tunao kunywaga pombe na hatupotezi Utaratibu Hivi Huwa hatuna dhambi.....Je kunywa pombe ni dhambi?

Binafsi mimi naamin kunywa pombe sio dhambi........
Kunywa pombe sio dhambi,ili mradi tu baada ya kunywa haufanyi Mambo ya hovyo.
 
[emoji482]
20211106_135551.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom