Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

TAARIFA MBAYA
Jana kuna mwana JF kaniwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji .. Nadhani nia ilikuwa kuniibia gari na pengine pesa simu nk.. Hakufanikiwa... Nitaleta taarifa kamili baada ya kukamilisha mambo kadhaa
Duhhh pole kaka!!
 
Pole sana mkuu

Apo kwenye mambo kadhaa apo.....
 
TAARIFA MBAYA
Jana kuna mwana JF kaniwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji .. Nadhani nia ilikuwa kuniibia gari na pengine pesa simu nk.. Hakufanikiwa... Nitaleta taarifa kamili baada ya kukamilisha mambo kadhaa
Pole sana mkuu...
Mtaje huyo mshamba
 
Mkuu leta bas huo mkasa,wenzio Kila saa tunachungulia!!!
 
TAARIFA MBAYA
Jana kuna mwana JF kaniwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji .. Nadhani nia ilikuwa kuniibia gari na pengine pesa simu nk.. Hakufanikiwa... Nitaleta taarifa kamili baada ya kukamilisha mambo kadhaa
Pole sana mkuu...
 
TAARIFA MBAYA
Jana kuna mwana JF kaniwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji .. Nadhani nia ilikuwa kuniibia gari na pengine pesa simu nk.. Hakufanikiwa... Nitaleta taarifa kamili baada ya kukamilisha mambo kadhaa
Si mdau wa Uzi huu ila hii taarifa imenileta.

Naomba unisimulie Mshana,naona kama unachelewa vile..huwezi jua pengine hata wengine tulipanga kukutana na huyo mtu Kesho.
Ukisimulia leo utakuwa umeokoa wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom