Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Hapana bar nzuri tu eneo hilo
Muweke wazi huyo mshenzi, jitahidi sana kuwa mwangalifu binadamu sasa hivi hawaaminiki na jinsi hali ilivyo ngumu watakuja na kila mbinu ya urafiki kukuumiza…
Hapana bar nzuri tu eneo hilo
Alaa kuuumbee
Pole sana mkuu. Binadamu ni mnyama hatari zaidi duniani tuwe makiniPart 2
Je nilijuaje kama ni nimewekewa madawa ya kulevya?
Mimi sio mgeni wa pombe .. Nimeanza pombe 1985.. Na katika maisha yangu nimeshakutana na pombe feki hizi kali.. Mziki wake hizi si wa kitoto zina hangover kali kiwango cha 5G na zinaumiza kichwa vibaya mno na nyingine unatapika hasa
Niliwahi kuwekewa madawa Kinondoni way back 2005 nimesimulia hapa hilo tukio..
Ukiwekewa madawa ulevi wake unakuja hapa utosini na macho yanakuwa mazito.. Unachotamani ni kufumba macho na kulala.. Waangalie mateja... Kingine ni kiu kali na kukaukiwa koo na midomo
Siku husika baada ya kuondoka ule mchana na kwenda kulala, baada ya kuamka nilikuta missed call yake.. Nilimpigia na kumuuliza kunani .. Akasema alikuwa anacheki kama nitarudi
Kuna mengine mengi sitayaweka wazi hapa mpaka nikamilishe hayo mengine..
Atajuta kunifanyia ujuha.. Akuanzaye mmalize[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]Muweke wazi huyo mshenzi, jitahidi sana kuwa mwangalifu binadamu sasa hivi hawaaminiki na jinsi hali ilivyo ngumu watakuja na kila mbinu ya urafiki kukuumiza…
Vp ukichukua juice ya ukwaju ya azam uchanganye na pombe kali + barafu,kuna kulewa kwel?!Hii hatari zile za ice cream ukiimaliza na bia yote imeisha kichwani [emoji2]
Aiseeee!!Part 2
Je nilijuaje kama ni nimewekewa madawa ya kulevya?
Mimi sio mgeni wa pombe .. Nimeanza pombe 1985.. Na katika maisha yangu nimeshakutana na pombe feki hizi kali.. Mziki wake hizi si wa kitoto zina hangover kali kiwango cha 5G na zinaumiza kichwa vibaya mno na nyingine unatapika hasa
Niliwahi kuwekewa madawa Kinondoni way back 2005 nimesimulia hapa hilo tukio..
Ukiwekewa madawa ulevi wake unakuja hapa utosini na macho yanakuwa mazito.. Unachotamani ni kufumba macho na kulala.. Waangalie mateja... Kingine ni kiu kali na kukaukiwa koo na midomo
Siku husika baada ya kuondoka ule mchana na kwenda kulala, baada ya kuamka nilikuta missed call yake.. Nilimpigia na kumuuliza kunani .. Akasema alikuwa anacheki kama nitarudi
Kuna mengine mengi sitayaweka wazi hapa mpaka nikamilishe hayo mengine..
[emoji23]Anne karibu sana kwenye jukwaa letu pendwa[emoji2] [emoji482] [emoji482]
Mkuu siku hizi nyagi umeacha?Tangu Jumatatu leo ndio nashtua mabandamaView attachment 1989767
Hahahaha[emoji23][emoji23]
Na wewe ni mdau kumbe!
Akhsante mkuu,stori ya Mshana imenileta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nipo kisemvule uliponiacha huduma inakumis sanaLadha mkuu.. Sometimes unabadili kidogo
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] Hili tukio nililoandika unahusika nalo?[emoji848][emoji2827] ..! Kama kwa namna moja au nyingine ulihusika nitaumia mara kumi zaidiBado nipo kisemvule uliponiacha huduma inakumis sana
Poa poa MkuuLadha mkuu.. Sometimes unabadili kidogo
[emoji23]
Na wewe ni mdau kumbe!
Akhsante mkuu,stori ya Mshana imenileta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ukichukua juice ya ukwaju ya azam uchanganye na pombe kali + barafu,kuna kulewa kwel?!
Atajuta kunifanyia ujuha.. Akuanzaye mmalize[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]