Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Asee tuacheKuna mda najiona mnyonge sana nikiacha mitungi, na nikipiga nakua kama mbogo kabisa
Asee tuacheKuna mda najiona mnyonge sana nikiacha mitungi, na nikipiga nakua kama mbogo kabisa
Asee tuache
Kaka tuacheeeeer plz,znatuvunjia heshimaNimeshindwa juzi kati tu nilikua na saving ya 1m leo sina ata mia duu
Nishashindwa aliegundua bia kuna siku hua namchukia na kuna sik hua sijutii ugunduzi wakeKaka tuacheeeeer plz,znatuvunjia heshima
Asante mkuu, nachingwea nimepita juzi nilikuwa natoka liwale, nilikaa kidogo Y2k pub then nikanyoosha masasi.Njoo nachingwea kiongozi
Noted!Ooh sorry late reply
Nitakuwepo kesho jioni kuanzia saa 12
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... Mwanangu kanywa 2 kamwaga radhiGongo iliyohalalishwa
Mkuu, ukiweka kwa mizani, ipi inashinda?Nishashindwa aliegundua bia kuna siku hua namchukia na kuna sik hua sijutii ugunduzi wake
Kisha tunapeana locationJmos ni siku ya kulewa [emoji1634]View attachment 1984090
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Leo naanzia mawasiliano park kwa HornetKisha tunapeana location
Fanya rehab kwanza hasa kama mitungi uliifanyia featuring na mikasiMe nipo najifanyia rehabilitation na misosi na matunda kwanza,maana tangu Ijumaa nakula chupa balaaa.Jana yenyewe nimekula chupa si mchezo.
Ila chupa aaaah!
[emoji28][emoji28][emoji28] ijumaa si ni jana tu. Endelea kula vyupa mzeeMe nipo najifanyia rehabilitation na misosi na matunda kwanza,maana tangu Ijumaa nakula chupa balaaa.Jana yenyewe nimekula chupa si mchezo.
Ila chupa aaaah!
@Hornet sijui nae alipiga vitu sana jana. Ngoja aje hapa aseme atakua saa ngapi kiwanjani kwakeNitapita hapo jioni