Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

....ukishagonga mvinyo sawasawa, asusa hii ndio inafaa.
Unguja wanaita checheee.......
IMG-20210219-WA0084.jpg
 
Nikiingia sehem zangu za kuinua mioyo huwa nawashangaa madume wenzangu wanapomimina serengeti lite wakati mimi nina safari au bapa. Hivi lite zinalewesha kweli wadau?
 
Nikiingia sehem zangu za kuinua mioyo huwa nawashangaa madume wenzangu wanapomimina serengeti lite wakati mimi nina safari au bapa. Hivi lite zinalewesha kweli wadau?
nilishawahi kutoka na jamaa zangu flani wanapiga izo light na mm nikaona nijaribu, ndani ya masaa 3 nshapiga backet 2 afu sisikii kitu zaidi ya kuchoka kwenda toilet kukojoa..mwanaume unatakiwa ule vitu vigumu nyagi, k vant, grants... hizo lite tuwaachie dada zetu
 
Nimecha pombe kuanzia Leo hii asubuhi,nikicheki saa hii ni saa Tisa jioni,yani hapa kwenye koo kunakitu kama kinatembea ndani ya koo kinapanda na kushuka.

Maombi yenu ndugu zanguni,niweze kutoboa hii dhamira yangu.
 
Unakikimbia chama lakini nitakuombea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom