Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,566
Hiyo nzuriNabwia na wana
Hiyo nzuriNabwia na wana
Hicho Kitabu cha Yoshua bin Sira hakipo kwenye biblia ya waprotestant. Martin Luther, mwanzilishi wa kanisa la walutheri alikiondoa kwenye biblia pamoja na vitabu vingine kadhaa. Kwa anayetaka kusoma biblia yenye Kitabu hicho basi apakue biblia ya wakatoliki play store.
Mwendo wa kushusha mikono [emoji1544][emoji1544]CC: @mrangi View attachment 1704509
Hatare na nusu, kuna cku niliingia nyumba ya jamaa yng mmoja anachumba chupa za kvant zimejaa hatar kuzitoa lazma akodi pick up[emoji23][emoji23]CC: @mrangi View attachment 1704509
Mziki wa kilumendago[emoji123]Nyoronyoro hawawezi huu mziki
Ujue siku hizi, hakuna DDO (Daily Drinking Officers).
Mm nakunywa friday to friday!Ujue siku hizi, hakuna DDO (Daily Drinking Officers).
Tumebanwa, hatuiti Jero tena, ni Mia Tano!
Heshima na adabu, dadadeki.
Naomben msaada wakuu kuhusiana na unywaji wangu wa pombe, nakunywa nazidisha nakua Kama chizi , kunakipindi nashindwa kutofautisha Kama naota au ndio nakunywa , natoa maamuzi ya kijinga Sana,,,,,msaada jamani niache pombe