K vant ni Dawa mzuri kwa watu wenye high blood pressure,huna haja ya kunywa vidonge vya pressure kila siku sababu mwisho Wa siku vina madhara take.Hata mimi aisee pamoja na kvant pia
[emoji16][emoji16][emoji16]wanastahili kukupa offer nono ya wiki nzima kila siku mzingaK vant ni Dawa mzuri kwa watu wenye high blood pressure,huna haja ya kunywa vidonge vya pressure kila siku sababu mwisho Wa siku vina madhara take.
Ila kwa watu wenye low blood pressure siwashauri,maana alcohol ina shusha pressure zaidi.
Wenye kampuni ya mega trade mnaotengeneza k vant kujeni huku nawapiga promo.
Umeacha?Maisha yangu ya ulevi yalitawaliwa na mapombe makali tupu..konyagi ikiongoza nadhani kama tukipima kwa ujazo sijui nimebugia pipa ngapi.....sijui kuna pombe gani kali ambayo sikugusa
Ila nilichokuwa nafanya ilikuwa ni lazima kwanza nile vizuri na usiku pia nilale na lita ya maji
NOTE: Pombe hasa hizi kali zisizo na viwango usipokuwa makini ZINAUA NGUVU ZA KIUME
Jana wakati Simba anatafuta mtuView attachment 1701275
Karibu sana chifu..Duh[emoji39][emoji39][emoji39]
Sorry nimesahau kusema iyo ni kihomehomeLocation.?
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My valentine wadauView attachment 1702278
Weka mbali na watotoMy valentine wadauView attachment 1702278