Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Mshana kunywa pombe ni dhambi?
 
Mm najiuliza sana hivi inakuaje mpaka pombe ikuchote akili?
Mm nilianza 2012 tena napiga John Mtembezi, Jack Daniels, Hennessy,cocktails, mocktails, sometimes Heineken hazijawahi kunipeleka puta au kunichota akili, naweza toka out na washikaj alaf inatokea tu sinywi chochote kabisa.
Last week nilikuwa moro nimetoka out na mchepuko pamoja na washilaji siku mbili mfululizo cha ajabu wote walipiga vyombo mm nikakausha tu.
Kiukweli namshukuru Mungu kwa kunipa akili hii
2012 me milikua sinywi naogelea kbs, cjui nineanza pombe lin nimejikuta nakunywa yan miaka ya 97 nilikua nakunywa na second master zile bingwa ndio zilikua zinatamba.
 
Kila jambo na kiasi...
Safi kbs
IMG_20210102_194637.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom