Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wazee wa Gambe nahitaji pombe itakayonipa nguvu ya ku do sex mpaka asubuhi bila kuchoka.

Nahitaji pombe ya kistaraabu sitaki pombe kali ambayo ukinywa mpka unafumba macho.
 
Wazee wa Gambe nahitaji pombe itakayonipa nguvu ya ku do sex mpaka asubuhi bila kuchoka.

Nahitaji pombe ya kistaraabu sitaki pombe kali ambayo ukinywa mpka unafumba macho.
Pombe inachosha misuri na viungo ukiweza kula ugali wa kushiba kisha gonga guinesss kadhaa halafu usiku kapige show yako ya kibabe
 
Previous night 🤒
IMG_20210122_223327_7_1611412655718_1611412723914.jpg
 
Naomben msaada wakuu kuhusiana na unywaji wangu wa pombe, nakunywa nazidisha nakua Kama chizi , kunakipindi nashindwa kutofautisha Kama naota au ndio nakunywa , natoa maamuzi ya kijinga Sana,,,,,msaada jamani niache pombe
 
Yani sahivi najichukia, demu wangu nipo nae kwenye mgogoro anataka kuniacha ,yani hapa niko na hofu Sana , nashindwa hata kuangalia watu usoni
 
Kila nikilewa lazima nichane suruali...Yani sielewi, pombe zinanitesa Sana, na naona kabisa umasikini wa kujitakia unakuja, kunakipindi nilianza kunywa Gongo nikajikuta nimelala kwenye kituo Cha daladala karibu na baa, huku sijui nimefikaje
 
Unatakiwa unywe bia,achana na mapombe makali.Kama chakula unajipimia unashindwaje kujipimia pombe?
Sielewi aiseee , nikiwa na hela nakunywa mpaka iiishe Yani ni tatizo aiseee, Kuna wakati nimewahi kutembea na boxer mtaani , ikabidi nisepe kile tamaaa, sasa nilipo amia huku tena nimeanza kutoa maboko, japo nakunywa kwa kujificha ila nikilipuka kesho story zimezagaaa, inanitesa Sana kisaokolojia
 
Jamaa zangu wa maana wote wananikataaa, nateseka Sana aiseee...Hata nikipata shida ya kukopa Wana wote wananikataaa
 
Jamaa zangu wa maana wote wananikataaa, nateseka Sana aiseee...Hata nikipata shida ya kukopa Wana wote wananikataaa
Pole sana,jipige kifua,amua kutoka moyoni...agiza nyagi ndogo ya mwisho mwishooo..utakuja kunishukuru
 
Pole sana,jipige kifua,amua kutoka moyoni...agiza nyagi ndogo ya mwisho mwishooo..utakuja kunishukuru
Ahahaha...nafanyia kazi , Yani kwenye jamii Bora kuwa mzinz kuliko mlevi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom