Huu uzi na ubariki, waiter ebu zungusha kama tulivyo yaani mm humu jf nilikuwa sijielewi nipo wapi nikifungua naona mambo ya siasa tuuuu mara nani kamshika ugoni nani mara kojoleo langu dogo naomba ushauri, mara naomba kujua tafsiri ya sukari na kitumbua yaani ila sasa leo nimejua kuwa kumbe mm kwa taifa hili ni mtu muhimu sana au kama vp na ss tuwe na vitambulisho kama wamachinga tuheshimiane mjini hapa.... waiter nipe konyagi kubwa bila ya energy nataka nipige kavu alafu nikipiga hii konya lugha ya mabeberu inapandaga kinoma, sema nikipita sehemu kupata supu familia sihisahau lazima nichome kuku mzima au nusu kuku kwa ajili ya home kwa my sweetie, namuheshimu coz ananipenda nilivyo na amenizalia watoto kama nimepitisha ke photocopy machine sina wasiwasi na DNA, na pili my wife ananijua upendo unakuwa mkubwa mnoo nikipasha ana enjoy sana vituko vya hapa na pale ila niko makini coz my brain iko active and smart no matter what! Waiter tuagizie na supu au kama kuna mbuzi tafadhari tuletee portion kama nne hivi usisahau kachumbali na pilipili kwa wingiiii na malimao tuikomeshe Corooooo 🤣🤣🤣🤣🤣[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]