Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Huu uzi na ubariki, waiter ebu zungusha kama tulivyo yaani mm humu jf nilikuwa sijielewi nipo wapi nikifungua naona mambo ya siasa tuuuu mara nani kamshika ugoni nani mara kojoleo langu dogo naomba ushauri, mara naomba kujua tafsiri ya sukari na kitumbua yaani ila sasa leo nimejua kuwa kumbe mm kwa taifa hili ni mtu muhimu sana au kama vp na ss tuwe na vitambulisho kama wamachinga tuheshimiane mjini hapa.... waiter nipe konyagi kubwa bila ya energy nataka nipige kavu alafu nikipiga hii konya lugha ya mabeberu inapandaga kinoma, sema nikipita sehemu kupata supu familia sihisahau lazima nichome kuku mzima au nusu kuku kwa ajili ya home kwa my sweetie, namuheshimu coz ananipenda nilivyo na amenizalia watoto kama nimepitisha ke photocopy machine sina wasiwasi na DNA, na pili my wife ananijua upendo unakuwa mkubwa mnoo nikipasha ana enjoy sana vituko vya hapa na pale ila niko makini coz my brain iko active and smart no matter what! Waiter tuagizie na supu au kama kuna mbuzi tafadhari tuletee portion kama nne hivi usisahau kachumbali na pilipili kwa wingiiii na malimao tuikomeshe Corooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]

Hahahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana mdau
 
View attachment 1697671 I love this UZI so much [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481] hapa no mapenzi wala siasa ni brain storming tu na ukatuni wa hapa na pale, tunajitambua

giphy.gif
 
Jamani na sisi binadamu jamani tuna uhuru wa kupewa nafasi kwani tuna mkera mtu basi. Hatunaga pisi kali wala butu nyie muliowaacha sisi ndiyo kimbilio lao aya kosa liko wapi jamii inatudisi ila ss ni watu muhimu sana kwa jamiii na hata huku jf [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji481]

giphy.gif
 
Mm najiuliza sana hivi inakuaje mpaka pombe ikuchote akili?
Mm nilianza 2012 tena napiga John Mtembezi, Jack Daniels, Hennessy,cocktails, mocktails, sometimes Heineken hazijawahi kunipeleka puta au kunichota akili, naweza toka out na washikaj alaf inatokea tu sinywi chochote kabisa.
Last week nilikuwa moro nimetoka out na mchepuko pamoja na washilaji siku mbili mfululizo cha ajabu wote walipiga vyombo mm nikakausha tu.
Kiukweli namshukuru Mungu kwa kunipa akili hii
 
Mm najiuliza sana hivi inakuaje mpaka pombe ikuchote akili?
Mm nilianza 2012 tena napiga John Mtembezi, Jack Daniels, Hennessy,cocktails, mocktails, sometimes Heineken hazijawahi kunipeleka puta au kunichota akili, naweza toka out na washikaj alaf inatokea tu sinywi chochote kabisa.
Last week nilikuwa moro nimetoka out na mchepuko pamoja na washilaji siku mbili mfululizo cha ajabu wote walipiga vyombo mm nikakausha tu.
Kiukweli namshukuru Mungu kwa kunipa akili hii

Daah 2012?Bado nyokaa endelea kupata uzoefu mkuu.
 
Dah yani Jana uchumi wangu ulikuwa mbovu sana,konyagi ndogo 3500/= nilishindwa kununua isee mfukoni Nina 2000/na Nina kiu kinyama ikabidi ninunue tu ya hiyo hela.

Hapa nilipo nayasikilizia maini yangu,ila kalikuwa kazuri kweli asubuhi nimeamka Niko safi utadhani niligonga heness.
Double kick [emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom