Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Asante, kiukweli naona dunia imenielema chanzo ni pombe, Yani Kuna time hangover inanitesa mpaka Kama nasikia watu wanaongea kichwani' hatari nimewahi kukurupuka geto kisa mlio wa radi, kufika nje nauliza majilani Kama Kuna radi ilipiga , kumbe hakuna chochote ni wenge langu tu
Mkuu unabidi utafute hiki kitabu usome.
IMG-20210113-WA0006.jpg
 
habari wadau ,,,,nikupongze mr mshana kwa ushauri wako uliompa member wetu,,,ila pia mm hali kama hyo imenitokea yaa nipiga pmbe nonstop 24hr sku saba za week,,yaan mpak ndugu wananisusa, sas kuna bib moja iv yuko same aliwah kunipa daw nkakaa kama miez 3 bila kugusa sas nlivyokuja kurudia kaaah ikawa worse kabisa,,nimempgia cm leo akaniambia amcheki kweny mitambo yake ameona nimetupiwa jini la pombe,,kwahyo haya mambo ya kulogew mapmbe yapo sana,,,wanadamu hawa saiv nawaogopa sana,,,,,shukran kaka
Dah thanks na pole sana ..vp unaendeleaje sasa
 
Nimeanza kuchukua hatua za kujinasua na tungi, Leo asubh nimeenda jumiya , watu wote kwenye jumiya macho kwangu..Kama nawasikia vile wanavyonisema kimoyomoyo"ili Levi limekuja leo"..nikapiga moyo konde kiume, bahati nzuri jumiya yetu ulikua na inatikiwa kupiga fanya usafi kanisani, nikaenda pia kushiriki kanisani. Nikapata wasaa mzuri pia wa kuungama zambi zangu, hasa hii kubwa ya ulevi, kiasi flani naona nimetua mzigo, Niko na Amani
 
Unaenda uelekeo sahihi sasa..Mungu azidi kukutia nguvu..hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho...tunakuombea sana
 
Kuna boya hapa katapika pombe asee! Imeniuma Sana manake pombe yote nimemnunulia karibu 20k kashusha chini pamoja na mapilau yake na maviazi[emoji20]

Mi nilimuambia wali na pombe haziendi akabisha ona Sasa kashanitia hasara
Unanikumbusha mbaali sana ...siku nilipiga pombe ya kutosha kufika nikapiga wali ...duuh pombe yote ilitoka
 
Nimeanza kuchukua hatua za kujinasua na tungi, Leo asubh nimeenda jumiya , watu wote kwenye jumiya macho kwangu..Kama nawasikia vile wanavyonisema kimoyomoyo"ili Levi limekuja leo"..nikapiga moyo konde kiume, bahati nzuri jumiya yetu ulikua na inatikiwa kupiga fanya usafi kanisani, nikaenda pia kushiriki kanisani. Nikapata wasaa mzuri pia wa kuungama zambi zangu, hasa hii kubwa ya ulevi, kiasi flani naona nimetua mzigo, Niko na Amani
Safi mkuu
Lakin Nikukumbushe Kunywa pombe sio dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza kuchukua hatua za kujinasua na tungi, Leo asubh nimeenda jumiya , watu wote kwenye jumiya macho kwangu..Kama nawasikia vile wanavyonisema kimoyomoyo"ili Levi limekuja leo"..nikapiga moyo konde kiume, bahati nzuri jumiya yetu ulikua na inatikiwa kupiga fanya usafi kanisani, nikaenda pia kushiriki kanisani. Nikapata wasaa mzuri pia wa kuungama zambi zangu, hasa hii kubwa ya ulevi, kiasi flani naona nimetua mzigo, Niko na Amani
Dah nilijidanganya nimeacha

Nimeshavaa nimefungua Bolt mara 3 na kufunga...kuna kasauti kananiita kwa nguvu sana,

Ila ikitimia saa 4 sijatoka nitakuwa nimeshinda[emoji41]
 
Nimeanza kuchukua hatua za kujinasua na tungi, Leo asubh nimeenda jumiya , watu wote kwenye jumiya macho kwangu..Kama nawasikia vile wanavyonisema kimoyomoyo"ili Levi limekuja leo"..nikapiga moyo konde kiume, bahati nzuri jumiya yetu ulikua na inatikiwa kupiga fanya usafi kanisani, nikaenda pia kushiriki kanisani. Nikapata wasaa mzuri pia wa kuungama zambi zangu, hasa hii kubwa ya ulevi, kiasi flani naona nimetua mzigo, Niko na Amani
Mi leo nimeenda jumuiya Niko hangover! Waliokuwa pembeni yangu wananicheki tu manake kila nikisali inatoka harufu ya pombe za Jana mi Wala sikuwajali!

Coz Ni lazima niende kusali jumuiya hata Kama Niko tungi lazima nimkumbuke Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom