Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii kitu ya Mchina lazima uwe na maini yaliyo kamili na tumbo liwe limejaa msosi wa kutosha!
20210122_220140.jpg
 
Asante, kiukweli naona dunia imenielema chanzo ni pombe, Yani Kuna time hangover inanitesa mpaka Kama nasikia watu wanaongea kichwani' hatari nimewahi kukurupuka geto kisa mlio wa radi, kufika nje nauliza majilani Kama Kuna radi ilipiga , kumbe hakuna chochote ni wenge langu tu
Mungu wangu[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Asante, kiukweli naona dunia imenielema chanzo ni pombe, Yani Kuna time hangover inanitesa mpaka Kama nasikia watu wanaongea kichwani' hatari nimewahi kukurupuka geto kisa mlio wa radi, kufika nje nauliza majilani Kama Kuna radi ilipiga , kumbe hakuna chochote ni wenge langu tu
Kaka utakuwa umerogwa...[emoji23]
 
Kaka utakuwa umerogwa...[emoji23]
Nimewahi kuhu hilo Jambo pia , Mambo ya kupiga ramli siyawezi, hila Kuna jamaa zangu Kama wawili hivi wamewahi kufwatilia hii kitu , wakaniambia Kuna raia wameweka Jambo lao
 
Hapana watu hawarogewi vitu vya starehe kamwe...hili ni jambo la kifamilia/kiukoo na kunenewa vibaya
 
Aiseeee.....! Babu yangu alikua anagonga maji zaidi yangu mpaka mahuti yanamkuta, pia baba zangu walikua watu wa maji ,ila waliamua kuacha, ila isipokua huyo mmoja, analewa mpaka kero...Nahic hizo roho zinanifwata aiseee
 
Nimeandika mada ya ufafanuzo nimekutag

Je unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?
 
Tanga jamaa wanatembea na hio haja kubwa kwny kiberiti wakiinusa kila mara ila wadindishe.

So huyo jamaa yako angekua chakula cha wana huyo.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Achaneni na mambo yenu ya ulevi! Maana sasa mnaboa! Uzi gani usiyo na mwisho? Ina maana huna jipya zaidi ya hiyo mada?
 
Tumeingiliwa....disco limeingia mmasai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom