Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,830
- 870,721
- Thread starter
- #23,681
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana!View attachment 1685531
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana!View attachment 1685531
Mkuu unakunywa via tu au pombe Kali au unachanganya vyote? Sidhani kama via tu hats ungekunywa kiasi gani ungekuwa kwenye hali hiyo. Achana na pombe Kali na huo ugoro. Kunywa bia tu na kabla hujalala usisahau kunywa maji ya kutosha.Asante, kiukweli naona dunia imenielema chanzo ni pombe, Yani Kuna time hangover inanitesa mpaka Kama nasikia watu wanaongea kichwani' hatari nimewahi kukurupuka geto kisa mlio wa radi, kufika nje nauliza majilani Kama Kuna radi ilipiga , kumbe hakuna chochote ni wenge langu tu
Pombe Kali...Mkuu unakunywa via tu au pombe Kali au unachanganya vyote? Sidhani kama via tu hats ungekunywa kiasi gani ungekuwa kwenye hali hiyo. Achana na pombe Kali na huo ugoro. Kunywa bia tu na kabla hujalala usisahau kunywa maji ya kutosha.
Bia hazipandi?Pombe Kali...
ZinapandaBia hazipandi?
Kifupi mzeee nakulaga mixer ya kutoshaZinapanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1686931
Even me...[emoji482]View attachment 1687271
Ijumaa ya mwishoo inatakiwa tukaiitakie safari njema januariJanuary imekaza[emoji23][emoji1787][emoji23]
Sahihi kabisaIjumaa ya mwishoo inatakiwa tukaiitakie safari njema januari
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duh[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Daa leo nimekutana na mlevi mwenzangu mmoja hivi, anakunywaga kwa daftari...! Counter kaniita nimpeleke home kawaka kinoma ...Baada ya kufika kanisainia Safari kreti 1, nishampeleka najiwasha hapa
Duh[emoji3064][emoji3064][emoji3064]