Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Home sweet home....
Ice nyingi
JPEG_20210123_202403_1273657197874874128.jpg
 
Je hakuna mtu kama mzazi aliyekunenra vibaya kuhusiana na pombe?
Vikao vingi Sana kuhusu pombe nimewekwa..Bibi yangu amewahi kunizuia nisinywe ukuakiwa analia...Mwezi mmoja mbele akafari, wazee watu wazima wameniweka Sana chini kuhusu ili jambo
 
Vikao vingi Sana kuhusu pombe nimewekwa..Bibi yangu amewahi kunizuia nisinywe ukuakiwa analia...Mwezi mmoja mbele akafari, wazee watu wazima wameniweka Sana chini kuhusu ili jambo
Bibi ndio chanzo
 
Bibi ndio chanzo
Aisee...Yani nilikua nakunywa tu kawaida , siku hiyo nikaenda kunywa ndugu yangu , hafurahishwa na ule ulevi, ikabidi avujishe news kwa wadau, ndio kuitwa na bibi...Yani nimepoteza mwelekeo kabisa..
 
Pombe siziwezi Mimi, nusu nipoteze jicho, Kuna jamaa amewahi kunichoma na Sigara jichoni kisa nilivamia meza ya watu baaa nikaanza kuchukua bia zao nazinawa huku zingine nawamwagia....jamaa akaona isiwe tabu akachukua Sigara akanishika kichwa akanichoma jichoni akijua kanipofoa ..saa nane usiku hiyoo
[emoji28][emoji28][emoji28]Utakufa wewe, achana na pombe zimeshakukataa mkuu! Nimecheka sana asee[emoji2]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Utakufa wewe, achana na pombe zimeshakukataa mkuu! Nimecheka sana asee[emoji2]
Mkuu Niko na matukio mengi ya pombe mpka najiogopa aiseee...Kuna wakati nikilala najiona kabisa Niko baa nakunywa pombe,na nikiamka najikuta uchovu Kama wote...nimeathirika Sana na pombe.
 
Mkuu Niko na matukio mengi ya pombe mpka najiogopa aiseee...Kuna wakati nikilala najiona kabisa Niko baa nakunywa pombe,na nikiamka najikuta uchovu Kama wote...nimeathirika Sana na pombe.
Unaforce kunywa pombe huku haikupendi.
Usipojirekebisha huko mbeleni hizo pombe zitakuletea shida.
Kwa maelezo yako mwenyewe hauna self control,ujaribu kupunguza huo unywaji.
Mm kuna kpnd nlikuwa nmekata tamaa na maisha walau nashkuru kwa sasa nmekaa vizuri naweza kunywa mara 2 au 3 tu kwa mwezi.
Maamuzi yote yapo mikononi mwako mkuu
 
Wazee wa mvinyo hivi hatuwezi kuanzisha mashindano yetu ya kupiga ulabu nchi nzima, tunaanza na mshindi wa kijiji, kata, wilaya, mkoa na mwisho tutapata bingwa wa taifa
 
Kweli mkuu siwezi kabisa kujicontol...sinakabisa huo uwezo..najiona bwege kinoma
 
Nimeamua tena nikagonge haka tena leo, maana WK end hii uchumi umenibamba.
Serikali imekula hela yangu ya kula mahapy wiki end hii.
Sikujua kama nilikuwa nadaiwa faini na traffic police aisee,hii operation wamenifata mpaka ninapoishi nimepaki wakatia kambi nadaiwa 60000 nilipigwa faini
1611428400716924452620.jpg
1611428400716924452620.jpg
sijui hata wapi nilipopigiwa,wakanilamba mkuu.
Basis nagonga haka tena Leo maana ni 2000/=
 
Mkuu ni Mambo ya aibu...nakua chizi fresh huku najiona, nimewahi kupewa dawa za kienyeji lakini wapi, Kuna wakati napata akili za kujidhulu, nishawahi kutembea na kisu mkononi nikaishia polisi, kunasiku nimewahi kunywa pombe nikaenda uwanjani kunamechi inachezwa nikazama ili nicheze pia, nikaambulia kipigo.Nisaidiwe jamani.
Bro kumbe ni wewe!naikumbuka hii siku..mm ndie niliekupiga banzi moja kubwa la kisogo ukavimba,tusamaheane[emoji51]
 
Wazee wa mvinyo hivi hatuwezi kuanzisha mashindano yetu ya kupiga ulabu nchi nzima, tunaanza na mshindi wa kijiji, kata, wilaya, mkoa na mwisho tutapata bingwa wa taifa
Wazo zuri sana
 
Nakuombea.
Asante, kiukweli naona dunia imenielema chanzo ni pombe, Yani Kuna time hangover inanitesa mpaka Kama nasikia watu wanaongea kichwani' hatari nimewahi kukurupuka geto kisa mlio wa radi, kufika nje nauliza majilani Kama Kuna radi ilipiga , kumbe hakuna chochote ni wenge langu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom