Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu hata mimi tangu ianze 2020 sijakugusa kabisa kilevi na nimeamua kuacha kutokana na ahadi niliyompa wife coz ni kitu ambacho amekuwa anakisisitiza for so long (plus ugomvi mwingi ilikuwa ni kisa kuchelewa kurudi home, overspending etc)....

Kwa kweli hii kuacha pombe/sigara ni kazi ngumu sana na inahitaji utashi na maamuzi kutoka moyoni mwako pengine hata bila ya kushawishiwa na mtu yeyote. Ninapambana mpaka kieleweke tu, no way out. Pengine hata nipumzike kwa miaka isiyopungua mitano kwa kuwa kugonga maji ni starehe yangu ambayo haielezeki (wadau hapa mnanisoma)

Sometimes napata hamu ya kubugia ulabu ila najikaza kisabuni. Wife aliniambia niache pombe na sigara kwa mpigo nikamwambia siwezi kufanya vyote kwa pamoja, tukakubaliana nitakuwa napunguza idadi ya fegi kadri siku zinavyosonga.

Majaribu yapo kwa sana tu, unaweza pita maeneo yetu halafu unahisi kama bia zote zimesimama kwenye kaunta zinakuita "njoo rafiki japo uchape hata mbili za kukupatia usingizi" au ukila nyama choma/kitimoto ukashiba fresh ni kama unasikia sauti inakuambia "unaonaje ukishushia na moja moto na nyingine baridi" hahahahahaaa

Cha msingi nitabaki kwenye uzi huu siku zote kusoma stories na kupeana updates kutoka kwangu nanyi wadau wengine!!!
Daaah tupambane tu mkuu maana kwa kweli tokea mkesha wa mwaka mpya sjagusa pombeIla mateso nayoyapitia hayaelezeki!!!mm nimeshauriwa niache japo pia Kuna msukumo ndani yangu na nlishataka kuacha mwaka Jana mwezi wa 10 ikashindikana Ila mwaka huu naapa ntakomaa angalau miaka 2 au 3 nikamilishe mambo yangu coz Kuna mambo yanakwama kutokana nakunywa pombe kupita kiasi,so ntajitahidi nipumzike angalau miaka 3 Kama itawezekana naacha kabisa.

Sent using [ ]
 
Hata wiki moja huu mwaka haujafikisha mnatoaje ushuhuda Njoo hapa angalau mwez wa sita na haya maneno..kila lakheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xo Lounge Arusha
IMG20200103235722.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata mimi tangu ianze 2020 sijakugusa kabisa kilevi na nimeamua kuacha kutokana na ahadi niliyompa wife coz ni kitu ambacho amekuwa anakisisitiza for so long (plus ugomvi mwingi ilikuwa ni kisa kuchelewa kurudi home, overspending etc)....

Kwa kweli hii kuacha pombe/sigara ni kazi ngumu sana na inahitaji utashi na maamuzi kutoka moyoni mwako pengine hata bila ya kushawishiwa na mtu yeyote. Ninapambana mpaka kieleweke tu, no way out. Pengine hata nipumzike kwa miaka isiyopungua mitano kwa kuwa kugonga maji ni starehe yangu ambayo haielezeki (wadau hapa mnanisoma)

Sometimes napata hamu ya kubugia ulabu ila najikaza kisabuni. Wife aliniambia niache pombe na sigara kwa mpigo nikamwambia siwezi kufanya vyote kwa pamoja, tukakubaliana nitakuwa napunguza idadi ya fegi kadri siku zinavyosonga.

Majaribu yapo kwa sana tu, unaweza pita maeneo yetu halafu unahisi kama bia zote zimesimama kwenye kaunta zinakuita "njoo rafiki japo uchape hata mbili za kukupatia usingizi" au ukila nyama choma/kitimoto ukashiba fresh ni kama unasikia sauti inakuambia "unaonaje ukishushia na moja moto na nyingine baridi" hahahahahaaa

Cha msingi nitabaki kwenye uzi huu siku zote kusoma stories na kupeana updates kutoka kwangu nanyi wadau wengine!!!
Aysee hongera mkuu! Kesho ntakutafuta walau tunywe bia mbili mbili nikupongeze kwa maamuzi uliyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakutakia kila la heri jirani wazo zuri pale unapotambua kuna kitu kinachosababisha kufanya jambo zuri ama kinasababisha kutokufanikisha jambo jema bora kuacha. Nakupongeza sana kwa maamuzi hayo
Daaah tupambane tu mkuu maana kwa kweli tokea mkesha wa mwaka mpya sjagusa pombeIla mateso nayoyapitia hayaelezeki!!!mm nimeshauriwa niache japo pia Kuna msukumo ndani yangu na nlishataka kuacha mwaka Jana mwezi wa 10 ikashindikana Ila mwaka huu naapa ntakomaa angalau miaka 2 au 3 nikamilishe mambo yangu coz Kuna mambo yanakwama kutokana nakunywa pombe kupita kiasi,so ntajitahidi nipumzike angalau miaka 3 Kama itawezekana naacha kabisa.

Sent using [ ]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakutakia kila la heri jirani wazo zuri pale unapotambua kuna kitu kinachosababisha kufanya jambo zuri ama kinasababisha kutokufanikisha jambo jema bora kuacha. Nakupongeza sana kwa maamuzi hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Akhsante jirani tuombeane maana huu uwamuzi ni wa matesa japo ntakaza tu mpaka kieleweke.

Sent using [ ]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom