Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 977
- 1,408
Haya ndio maneo yetu ya home ya kulipa kodi
Haya ndio maneo yetu ya home ya kulipa kodi
Hahahaha, Rafiki hii sasa ndio yenyewe
Yes karibu
Nimeimalizia muda si mwingi ila bado sijapata stimu usingizi haupo
Nimeimalizia muda si mwingi ila bado sijapata stimu usingizi haupo
Haaaa sijawahi siwezi kuna vichupa vya kili kwa fridge natamani nikavigonge
Haaaa sijawahi siwezi kuna vichupa vya kili kwa fridge natamani nikavigonge
Hii kitu naskia ni noma, jamaa yangu huwa anapiga K vant sasa siku hiyo akaamua kujaribu Diamond [emoji23][emoji23] akawa anasema anajiskia kupaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787].[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Diamond upo kanda ya ziwa nini, inatengenezwa Shy kwa mchaga mmoja hivi. Ni hatari hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hii mixerMchanganyiko mzuri sana hauna hangover hata kidogo
View attachment 1307813
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna vilevi viwiliii