Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 147
Kwa mangi moja hvi chocho lakini in three hours... Ushajifunza kizungu rasi simba akasome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari mkuu....unaweza kurudi home usijue umepita njia gani..na umefikaje home!unaweza hisi ni miujizaHii kitu noma wakuu.. Si ya kuweka nayo ligi hata kidogo!
Imepindua iyo iko Pwani sasa
Jr[emoji769]
Bye bye pombe 2020.mniombee kwenye haya maisha mapya maana nimekunywa kwa miaka 13View attachment 1310273
Sent using [ ]
Nilitoka hapo mida ya saa 10 za alfajiri, Mungu akipenda tuonane wiki ijayo hapo
Hahahahaaaaa nimeamua na kwa uwezo wa Mungu naacha.Mkuu umefanya kosa kuitangazia pombe umeiacha. Pombe nj kama mwanamke jambazi ukiwa nae kwenye mahusiano huwezi mtangazia unamuacha, unaondoka kimkya kimya. Hakika atakurudia kwa kiu ya 7 mara 70.
Tuna uanza mwakaa kihivyoView attachment 1310554
True that..Ni hatari mkuu....unaweza kurudi home usijue umepita njia gani..na umefikaje home!unaweza hisi ni miujiza
Hahahahaaaaa nimeamua na kwa uwezo wa Mungu naacha.
Sent using [ ]
Hayo maziwa yamefuata nn apo!??Karibuni sana View attachment 1310694
Karibuni sana View attachment 1310694
Bye bye pombe 2020.mniombee kwenye haya maisha mapya maana nimekunywa kwa miaka 13View attachment 1310273
Sent using [ ]